JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Haya haya amkeni kumekucha...
Mwifwa na Nleterewa nawasubiri darasani hapa.
Kichwa Kichafu na jje's basi inatosha mtaendelea baadae[emoji6]
Neybright na Inna, mwanichanganya sasa sijui nani wakumuita shemeji na nani wa kumuacha.
dingimtoto na mjr95 mtauana bure Inna ana wake nyumbani.
HB wa kigogo na Demiss natamani siku moja niwaone mkiwa na ukaribu zaidi!

Jamani msione kimya, maisha yamenifunga mdomo!
Ahahahaaaaaa wewe mwanamke wewe Mekumithiii hatari
 
Back
Top Bottom