spade4spade
JF-Expert Member
- Jun 5, 2014
- 2,207
- 2,158
Asubuhi ntatafuta vitunguu vikishindwa
kamera yangu siyo nzuri sana ila hiyo ndo vicks yenyewe
Asubuhi ntatafuta vitunguu vikishindwa
Naombeni dawa ya mafua
Pole, usiku mwemaNaumwa kichwa jaman ngoja nilale tu
aaàaaah mzee khalifaUsiku.
Nilikuja kuchungulia lindo baby narudi haraka.Natangulia bby utanikuta
Mazoezi dawaNaona khatibu anapiga jogging
Pole Sana kunywa maji mengiNaumwa kichwa jaman ngoja nilale tu

Hongera wewe wa kipekee kumbeNina ant malaria mwilini
Hmmm!!! WeweHaya haya amkeni kumekucha...
Mwifwa na Nleterewa nawasubiri darasani hapa.
Kichwa Kichafu na jje's basi inatosha mtaendelea baadae
Neybright na Inna, mwanichanganya sasa sijui nani wakumuita shemeji na nani wa kumuacha.
dingimtoto na mjr95 mtauana bure Inna ana wake nyumbani.
HB wa kigogo na Demiss natamani siku moja niwaone mkiwa na ukaribu zaidi!
Jamani msione kimya, maisha yamenifunga mdomo!