JamiiForums Usiku wa manane
Haya haya amkeni kumekucha...
Mwifwa na Nleterewa nawasubiri darasani hapa.
Kichwa Kichafu na jje's basi inatosha mtaendelea baadae
Neybright na Inna, mwanichanganya sasa sijui nani wakumuita shemeji na nani wa kumuacha.
dingimtoto na mjr95 mtauana bure Inna ana wake nyumbani.
HB wa kigogo na Demiss natamani siku moja niwaone mkiwa na ukaribu zaidi!

Jamani msione kimya, maisha yamenifunga mdomo!
Asante kwa ndoa ya mkeka nasubir bwana harusi aseme yes or no
 
Back
Top Bottom