Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,985
- 189,557
Ondoa hofu ila wivu muhimu mama nakupenda jje'sMimi yangu majicho
Ila pls kumbuka kamoyo kangu si ka chuma
Ondoa hofu ila wivu muhimu mama nakupenda jje'sMimi yangu majicho
Ila pls kumbuka kamoyo kangu si ka chuma
Jamvi halisafishiki mkuuHaya ngoja wafanye usafi
Lala mama ila umeenda kucheckNaumwa kichwa jaman ngoja nilale tu
Pole sana!! Nakuombea kwa MUNGU uponeNaumwa kichwa jaman ngoja nilale tu
Pole tumia vitunguu swaumu kama unavyo?Naombeni dawa ya mafua
Vipo ila nasikia uvivu kuvifata,Pole tumia vitunguu swaumu kama unavyo?
Jitahid bana,Vipo ila nasikia uvivu kuvifata,
Nivitafune au ?
Tafuta vicks moja ya kihindi inaitwa Relax upake puani na kwenye koromeo afu utuletee mrejesho.Naombeni dawa ya mafua
Hapa nimejisokotea shuka mbili nabado naona baridi,Jitahid bana,
vitafune pia kama unaweza visage punje hata5 alafu paka chini ya koo na juu ya pua
Asubuhi ntatafuta vitunguu vikishindwaTafuta vicks moja ya kihindi inaitwa Relax upake puani na kwenye koromeo afu utuletee mrejesho.
Polesana, yawezekana una malaria imekushikaHapa nimejisokotea shuka mbili nabado naona baridi,
Ntaamka badae
Hapana mie huwa siumwi malariaPolesana, yawezekana una malaria imekushika
Hmm Kwanin??Hapana mie huwa siumwi malaria
Na makucha yakeKumekucha......
Nina ant malaria mwiliniHmm Kwanin??
Hapana mie huwa siumwi malaria