JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Wapendwa wangu, nawapenda sana ila naomba niwakimbie [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125],
Mungu awasimamie mkeshe salama. Asanteh kwa muda wenu nimefurah kuwa nanyi kimazo kifikra usiku huu wa manane. Kila la kheri, kwaherini nyote. [emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji137]
Ufike salama na uwasalimei wote huko
 
Back
Top Bottom