Inna
JF-Expert Member
- Jan 13, 2017
- 11,194
- 27,096
Duuh watu hamchez na fursaUnaniachaje? Nakuja pm [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Duuh watu hamchez na fursaUnaniachaje? Nakuja pm [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Tumebaki wenyewe.Nguvu ya soda naona imewaisha wote chaliiiii
Kama RonaldoDuuh watu hamchez na fursa
Njoo pm tusemezane. [emoji85]Nguvu ya soda naona imewaisha wote chaliiiii
Fursa ya kilimo kwanzaItakuwa ni jambo la kheri.
Penda sana weye [emoji7]Uaminifu wake na confidence alizonazo kwangu zinanimalizaga najikuta Niko tu hoi
Lala unono jirani nilitoka nje kidogo kuangalia usalama wa majirani zanguWapendwa wangu, nawapenda sana ila naomba niwakimbie [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125],
Mungu awasimamie mkeshe salama. Asanteh kwa muda wenu nimefurah kuwa nanyi kimazo kifikra usiku huu wa manane. Kila la kheri, kwaherini nyote. [emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji137]
We kuku nawe Leo chali hadi imekuwa chalii ya dogoNguvu ya soda naona imewaisha wote chaliiiii
Umepotea na weweHakuna kulala hata kama hujala
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Ahhahahaha umechanganya mafaili
[emoji3] [emoji3] namrusha roho tu miss usijal jamanDingi umekuja kuwaje tena jamani [emoji26][emoji26][emoji26]
[emoji86] [emoji86] [emoji86]Ebu fanya kuchepuka mama bhoke
Hahahahahahaaaaa.Humu mbona mimi nawaona bundiz na popoz tu mkuu, au ndo nshakua na kengeza nini?
Inna huyu mzee umemfanyaje.Haya njoo unichum pm