dingihimself
JF-Expert Member
- Jan 9, 2016
- 9,802
- 20,296
Sawa!!! Kwa maana wewe ni msaidiz wangu hamna shida kipenzHaha mpe huyo ndugu yangu...tena unipe mm nmfikishie
Sawa!!! Kwa maana wewe ni msaidiz wangu hamna shida kipenzHaha mpe huyo ndugu yangu...tena unipe mm nmfikishie
Hapo ndipo napo mpa sifa sasa achezi mbaliHataki kulala kulalia njaa bana ilihali godoro lipoo
washa mkaaHodi hodiiii popoz baridi linanitesaa nimelala nikizungukw na mito blanketi haifanyi kazi sjui Nitapata wapi jotoooooo jamn
Polesanaaa!!!Hodi hodiiii popoz baridi linanitesaa nimelala nikizungukw na mito blanketi haifanyi kazi sjui Nitapata wapi jotoooooo jamn
Jichome motoHodi hodiiii popoz baridi linanitesaa nimelala nikizungukw na mito blanketi haifanyi kazi sjui Nitapata wapi jotoooooo jamn
Naomba majiNimefungua geti Jaman kumekuchaaaaa![]()
Polesanaaa!!!
Ila umewah kufungua geti la kilinge
Nimefungua geti Jaman kumekuchaaaaa![]()
Jichome moto
Hodi hodiiii popoz baridi linanitesaa nimelala nikizungukw na mito blanketi haifanyi kazi sjui Nitapata wapi jotoooooo jamn

Vyovyote vile hata uning'ong'e. Ukikosea muda mi nasahau jina bhana!
Sema tu usingizi umekubanaLeo huku nilipo mtandao unasumbua.
Usiku mwema all Bundizz plus Popozz.
Tutaonana tena Mungu akipenda
Ni mm nimekosea au wa nyuma yangu ndo wameshafungua geti mdaaVyovyote vile hata uning'ong'e. Ukikosea muda mi nasahau jina bhana!
Wape za uso maana wanataka kutuletea vibaka. Watoto bado hawajalala afu wanaleta mambo ya wakubwa!Ni mm nimekosea au wa nyuma yangu ndo wameshafungua geti mdaa