Duduvwili
JF-Expert Member
- Jan 31, 2015
- 3,884
- 3,807
Mi mwenyewe nimeliona kabisa nilikua maeneo ya changanyikeni huku2020 ya moto band dadadeque!!! Makombora mpaka huku tunayasikia?!!?
Sent using Jamii Forums mobile app

When it comes to the interest of America, THE UNITES STATE is oneTaifa la Marekani haliko upande wa Trump kwenye hii vita, ni Trump yeye kama yeye ndo anapigana. Na bila "kuuza sababu za vita" kwa wananchi wa marekani ukaeleweka basi utakuwa unafight a losing war.
Kwa upande wa Iran Taifa zima limeungana nyuma ya viongozi wao na liko tayari kwa chochote.
Kitendo cha Trump kutishia kupiga Cultural sites za Wairan kimewakera mno Wairan kwa hiyo wako tayari kwa lolote.
Kutokana na hilo, Sioni ni kwa namna gani Trump anaweza kujicommit kwenda vitani na Iran halafu akaungwa mkono na bunge la nchi hiyo lenye mademocrats wengi
Wewe jamaa kila sehemu unakuwa upande wa hovyo! Kwanini?Tuliwaambia Hawa waajemi hawapendagi ujinga
When it comes to the interest of America, THE UNITES STATE is one
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona vita imeshaanza na Iran kashambulia kambi mbili za majeshi ya Kimarekani zilizopo ndani ya Iraq. Au huelewi unachokisoma?Ndugu yangu, vita ikishapamba moto huko Iran, wa iran watamgeuka Ayatollah na kuanza kumuona kama mtu asiyefaa, unachezea kifo.
IRAN YAIPIGISHA MAGOTI MAREKANI NA KUILISHA MCHANGA
Ile Marekani tuliyokuwa tunaijua kuwa ni Super Power, imeipigishwa magoti na Jamhuri ya Kiislamu ya lran, baada ya kupata kipigo kikali asubuhi ya leo na kutangaza kuwa haina uwezo wa kuingia vitani na lran.
Huku ulimwengu ukiwa umesubiria jibu kali la Trump na maafisa wote wa Marekani, taarifa iliyotolewa na rais huyo wa Marekani (mcheza kamari) ameandika ujumbe kwenye mtandao wa kijamii kwamba: (Mambo yako safi, tunafuatilia hasara iliyosababishwa na shambulio la lran kwenye kambi yetu kubwa ya kijeshi ya Ainil-Assad).
Hii ni katika hali ambayo kila mtu duniani alitarajia kusikia neno la Trump linalosema: 'Tutajibu.' Lakini imekuwa kinyume chake baada ya kubaini kuwa, lran sio taifa la kuchezea.
Lakini mbali na Trump, Waziri wa Ulinzi wa Marekani bwana Mark Esper amesema: "Tupo tayari kuhitimisha vita vya aina yoyote na lran." Akimaanisha kwamba hatuwezi kuingia vitani na Iran.
Lakini pia Lindsey Graham, Seneta wa chama cha Trump cha Republican naye ameandika: "Msijibu kabisa mashambulizi ya lran."
Aidha habari ndani ya lraq zimefichua kuwa, jeshi la Marekani katika kambi zilizoshambuliwa, limezuia waandishi wa habari kuonyesha hasara zilizotokana na kipigo cha leo cha lran na inasemekana linaficha miili ya askari wake walioangamizwa kama ambavyo linawasafirisha kisirisiri.
Aidha katika hali ya kushangaza jeshi hilo la kigaidi la Marekani limetangaza kwamba hakuna askari wake aliyeuawa, bali eti wale waliouawa ni raia wa lraq. Nayo serikali ya lraq imetangaza mapema leo kwamba, hakuna raia wake hata mmoja aliyeuawa wala kujeruhiwa katika kipigo hicho.
Aidha habari zinasema kwamba mamia ya askari wa Marekani wameonekana wakikimbia hovyo huku wengine wakiwa utupu, kwa kuwa shambulizi limefanyika majira ya saa saba za usiku wakiwa wamelala.
Aidha jeshi la lran limetangaza kwamba utitiri wa makombora yake kote nchini, yamewekwa tayari kwa ajili ya kushambulia maeneo yote ya kijeshi ya Marekani, iwapo Washington itajibu hata kidogo tu.
Hiki ni kipigo cha pili baada ya kile cha kutunguliwa ndege yake ya kisasa ya drone ya Global Howk ya Marekani miezi michache iliyopita.
Hii ndio lran na hii ndio Marekani. Kwa leo Iran imeithibitishia Marekani kwamba Jamhuri ya Kiislamu ya lran ni Super Power.
Hahaaa wewe ushawahi kufika mbinguni kwa mbele? Utaikutaga jukwaa la dini kwa ufasahaSijaelewa.
Teh teh teh mwarabu bana ukimuacha usimpige anadai unamuogopa, ukimpiga umemchokoza lazima nilipe kisasiIRAN YAIPIGISHA MAGOTI MAREKANI NA KUILISHA MCHANGA
Ile Marekani tuliyokuwa tunaijua kuwa ni Super Power, imeipigishwa magoti na Jamhuri ya Kiislamu ya lran, baada ya kupata kipigo kikali asubuhi ya leo na kutangaza kuwa haina uwezo wa kuingia vitani na lran.
Huku ulimwengu ukiwa umesubiria jibu kali la Trump na maafisa wote wa Marekani, taarifa iliyotolewa na rais huyo wa Marekani (mcheza kamari) ameandika ujumbe kwenye mtandao wa kijamii kwamba: (Mambo yako safi, tunafuatilia hasara iliyosababishwa na shambulio la lran kwenye kambi yetu kubwa ya kijeshi ya Ainil-Assad).
Hii ni katika hali ambayo kila mtu duniani alitarajia kusikia neno la Trump linalosema: 'Tutajibu.' Lakini imekuwa kinyume chake baada ya kubaini kuwa, lran sio taifa la kuchezea.
Lakini mbali na Trump, Waziri wa Ulinzi wa Marekani bwana Mark Esper amesema: "Tupo tayari kuhitimisha vita vya aina yoyote na lran." Akimaanisha kwamba hatuwezi kuingia vitani na Iran.
Lakini pia Lindsey Graham, Seneta wa chama cha Trump cha Republican naye ameandika: "Msijibu kabisa mashambulizi ya lran."
Aidha habari ndani ya lraq zimefichua kuwa, jeshi la Marekani katika kambi zilizoshambuliwa, limezuia waandishi wa habari kuonyesha hasara zilizotokana na kipigo cha leo cha lran na inasemekana linaficha miili ya askari wake walioangamizwa kama ambavyo linawasafirisha kisirisiri.
Aidha katika hali ya kushangaza jeshi hilo la kigaidi la Marekani limetangaza kwamba hakuna askari wake aliyeuawa, bali eti wale waliouawa ni raia wa lraq. Nayo serikali ya lraq imetangaza mapema leo kwamba, hakuna raia wake hata mmoja aliyeuawa wala kujeruhiwa katika kipigo hicho.
Aidha habari zinasema kwamba mamia ya askari wa Marekani wameonekana wakikimbia hovyo huku wengine wakiwa utupu, kwa kuwa shambulizi limefanyika majira ya saa saba za usiku wakiwa wamelala.
Aidha jeshi la lran limetangaza kwamba utitiri wa makombora yake kote nchini, yamewekwa tayari kwa ajili ya kushambulia maeneo yote ya kijeshi ya Marekani, iwapo Washington itajibu hata kidogo tu.
Hiki ni kipigo cha pili baada ya kile cha kutunguliwa ndege yake ya kisasa ya drone ya Global Howk ya Marekani miezi michache iliyopita.
Hii ndio lran na hii ndio Marekani. Kwa leo Iran imeithibitishia Marekani kwamba Jamhuri ya Kiislamu ya lran ni Super Power.
Huijui Afghanistan?Nimekuelewa sana ulichoandika isipokuwa nakuona hauna uelewa wa nchi za Kiarabu ni zipi na zisizo za Kiarabu ni zipi. Binafsi nimekufahamisha kuwa nchi ya Kiarabu iliyopigwa na Mmerekani kwa ajili ya Osama ni moja tu nayo ni Sudan pekee, nayo ni nchi ya Kiarabu iliyopo Afrika.
Sasa wewe nioneshe ni nchi ipi nyingine, popote duniani, nchi ya Kiarabu iliyopigwa na Mmerekani kwa ajili ya Osama. Kama huwezi kuionesha usiwe unakurupuka kuandika usiyoyaelewa. Hii ni JF, hapa ngoma za kitoto hazikeshi.
Bado nasubiri.
Umenikumbusha tabia ya mwanamke 😀😀😀😀Teh teh teh mwarabu bana ukimuacha usimpige anadai unamuogopa, ukimpiga umemchokoza lazima nilipe kisasi