Iraq: Iran yashambulia kwa makombora kambi mbili za Jeshi za Marekani, Ain al-Asad na Erbil

Halafu vita dhidi ya Iran havitakua vya kawaida maana kule mamilioni Wa-Iran wenyewe ni full mzuka na mihemko, hivho Marekani hatopigana akiwa na nia ya kuwakomboa dhidi ya utawala, kwa kifupi hapeleki 'demokrasia' kama afavyo kwenye mataifa mengine, hii itakua vita baina ya Marekani na Iran, tofauti na ile ya hapo Iraq ambayo ilikua baina ya Marekani na Saddam.

Tegemea mamilioni wa Iran kujiunga kwenye ugomvi wakielekea Iraq kuliko wanajeshi wa Marekani, kwa hivyo firepower atakayotumia Marekani ni 'carpet bombing', yajayo yamekaa ovyoo kishenzi, hawa wanataka kutuharibia kadunia ketu haka.
Koment ya hovyo 🤣😀🤣
 
Naona tehran imebakia majivu

Ingeua hata kamwanajeshi kamoja ka Marekani.
Leo Israel inaua mazombi yenu yanaelekea 30,000 ila Iran imeukunja mkia, Israel imeua hata kiongozi wa jeshi la Iran lakini wapi.
Nilishakuambia huyo alla wenu hana nguvu kumzidi Mungu wa Wayahudi.
 
Iran imefutwa kwenyenuso wa dunia 😀🤣😀
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom