Iraq: Iran yashambulia kwa makombora kambi mbili za Jeshi za Marekani, Ain al-Asad na Erbil

IMG_20200108_185605.jpg
 
This wat Iran did;-
:::::::::::::::::::::::

Ukraine Boeing737 victims:
- 82 Iranians,
- 11 Ukrainians,
- 63 Canadians,
- 10 Swedes,
- 4 Afghans, 4 Germans & 3 British nationals . Ukraine foreign minister confirms.
 

Attachments

  • 81889796_1062737164063559_379591674931707904_n.jpg
    81889796_1062737164063559_379591674931707904_n.jpg
    14.1 KB · Views: 1
Huijui Afghanistan?
Huijui Pakistan?

Hujui zilivyopigwa kwa kisingizio cha kumficha Osama?

Usianze kujisifia tu dadangu


Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana kijana.

Hivi ni shule gani hiyo ilikufundisha kuwa Afghanistan na Pakistan ni nchi za Kiarabu?

Dah! Tanzania tuna safari ndefu sana ya kwenda.

Bado wewe unaedhani nchi hizi ni za Kiarabu una kauli ya kuniambia nisijisifu?

Kwa hayo, nnakila sababu za kujisifu kuwa hakika shule nilizosoma sikusomea ujinga.

Huo wako ni ujinga, kumbuka hilo.
 
Vita ya tatu ya dunia lazima itatokea itachukua muda mrefu lakini itatokea, nimewahi, nitapigwa na natarajia kupigwa Bann .nauhakika nikiapa.ndisha mada ya kitimoto na kambale bia .na ua....ahhhh sijui mkate divai na wine kama chanzo tena bann nitapatiwa.

Sio kama uzee una umuhimu sana kwa mwanadamu ndiyo ni sawa japo sio muhimu kwa zaidi ya uzeenii
Kama hujaelewa nitaipandisha hii mada vizuri lile jukwaa la UFUNUO ambapo mim sio member ila mada itapelekwa kule bila muanzilishi kuweza kuona comments na kutoa na kupokea maoni mbadala.

Sent using Jamii Forums mobile app
Una undugu na Pdidy?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Iran has again warned regional dictators
If any country in Persian Gulf - #UAE #SaudiArabia and others allow US military installations to be used in any attack on Iran THOSE REGIMES WILL BE ENDED - They must pull back now
- Prof Mohamad Marandi
#AxisOfResistance #IranAttacks Nardeep Pujji on Twitter

Sent using Jamii Forums mobile app
‏‎رهبر انقلاب: گفتم آقاجان! بزنید می‌خورید/ ممکنه ضربه هم بزنند اما چند برابر ضربه میخورند

the time you hit and went away is over
you hit, you will be hit
 
Kama jinsi dola ya Uajemi na Waamedi chini ya mfalme Cyrus ilivyoipiga na kuizima Babylon ya kale, huenda Dola la Uajemi la sasa likaiangusha Babylon ya sasa (Marekani).

Marekani ni Taifa lenye nguvu lakini limekuwa Taifa litendalo ouvu mwingi sana duniani kama vile vita za kuua mamilioni mfano Vietnam, Iraki n. k. Limekuwa Taifa la matendo ya ushoga n. k
Sahau icho kitu mzee.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona sasa wameamua kutupeleka WW3, IRAN imelipiza kisasi kwa kuvurumusha makombora ya masafa mafupi nchini Iraq dhidi ya Jambi mbili za kijeshi za Marekan zinazohifadhi wanajeshi za NATO..


Kwa ufupi, US na NATO ndio walichokua wanataka.


Russia na China ,hawawez acha Uwekezaji wao nchin Iran uende mikonon mwa NATO...
Kwani Russia na China wana uwezo wowote wa kupambana na marekani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Halafu vita dhidi ya Iran havitakua vya kawaida maana kule mamilioni Wa-Iran wenyewe ni full mzuka na mihemko, hivho Marekani hatopigana akiwa na nia ya kuwakomboa dhidi ya utawala, kwa kifupi hapeleki 'demokrasia' kama afavyo kwenye mataifa mengine, hii itakua vita baina ya Marekani na Iran, tofauti na ile ya hapo Iraq ambayo ilikua baina ya Marekani na Saddam.

Tegemea mamilioni wa Iran kujiunga kwenye ugomvi wakielekea Iraq kuliko wanajeshi wa Marekani, kwa hivyo firepower atakayotumia Marekani ni 'carpet bombing', yajayo yamekaa ovyoo kishenzi, hawa wanataka kutuharibia kadunia ketu haka.
Jinsi wamarekani walivyo na kharisa kwa kulipuliwa kwa ile drone yao tegemea hao vinyampara wa Iran kuchezea kichapo..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapana sio kama wiki kama wiki ya kawaida, huu ni muda wa kiunabii, ambao siku moja nisawa na Mwaka mmoja.

Hapa kuna majuma 70 ..... Yakagawanya ktk majuma 69 ya kwanza..na Juma LA mwisho linaloitmisha 70..

Ni somo refu Mkuu ...mpaka nitulie nikueleze kwa ufasaha.


Ila nimambo ambayo ukiyajua , ukasoma Biblia vzuri, huwez shangaa nakinachoendelea leo Duniani.
Kw hiyo nini kitatokea kutokana na utabiri wako mtaalamu

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom