Marekani wamuua kamanda wa Kataib Hezbollah

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,652
48,417
Kawahishwa kwa mabikira, ni mojawapo wa makundi yanayofadhiliwa na Iran.

===========

A commander from Kataib Hezbollah, an Iran-backed armed group in Iraq that the Pentagon has blamed for attacking its troops, was killed in a US strike on Wednesday, the US military said.

"(US) forces conducted a unilateral strike in Iraq in response to the attacks on US service members, killing a Kataib Hezbollah commander responsible for directly planning and participating in attacks on US forces in the region," a statement from the military said. It did not name the commander.

It added that there were no indications of civilian casualties.
 
Wanatangaza kuua kila uchao vita hawailimalizi nchi kama chanika aibu kwa wanaojiita mataifa makubwa maji ya kina kirefu hayapigi kelele yanazamisha tu!

IDF wana uwezo wa kupiga kale kasehemu kitu kinaitwa carpet bombing kafutike ndani ya masaa, ila inabidi wawe na huruma kwa kina mama na watoto ambao wanatumika kama kinga, huku hao hao IDF wakipelekwa kushtakiwa ICJ.

Ingekua Urusi au China, hivi vita vingeisha kitambo maana wale huwa hawarembi au kubembeleza magaidi ya dini, wanapiga na kulipua chochote kinachotamba.
 
Huruma hakuna hata chembe Hamas hawana wanajeshi elfu 30 lakini mpaka leo tunaelezwa wameshauwawa wapalestina zaidi ya elfu 27 huoni huo wingi ni watoto na kina mama!
 
Kawahishwa kwa mabikira, ni mojawapo wa makundi yanayofadhiliwa na Iran....

A commander from Kataib Hezbollah, an Iran-backed armed group in Iraq that the Pentagon has blamed for attacking its troops, was killed in a US strike on Wednesday, the US military said.

"(US) forces conducted a unilateral strike in Iraq in response to the attacks on US service members, killing a Kataib Hezbollah commander responsible for directly planning and participating in attacks on US forces in the region," a statement from the military said. It did not name the commander.

It added that there were no indications of civilian casualties
Kwahiyo yupo mbinguni anatwanga bikra 🤣🤣🤣

Hizi Imani za warabu hovyo kabisa!!
 
Wanatangaza kuua kila uchao vita hawailimalizi nchi kama chanika aibu kwa wanaojiita mataifa makubwa maji ya kina kirefu hayapigi kelele yanazamisha tu!
Vita ni mbinu na hiyo ni mbinu mojawapo. Tuungane pamoja kulaani magaidi wanaohatarisha amani ya dunia.

Hawa magaidi kuna wakati wanajilipua na kuua hata watu wa imani moja nao wakidai wametumwa na mungu wao anayeitwa allah. Bure kabisa.
 
Yule Mungu wa alshabab na Boko haram na Hamas na alqaida. Huwa wanamuimba hata kama wakiwa wanabaka.
 
Back
Top Bottom