Iraq: Iran yashambulia kwa makombora kambi mbili za Jeshi za Marekani, Ain al-Asad na Erbil

SK2016

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2017
Messages
6,993
Points
2,000

SK2016

JF-Expert Member
Joined Apr 6, 2017
6,993 2,000
Nchi ya Kiarabu pekee iliyopigwa mabomu wakati wa Osama ni Sudan, ambayo ni nchi ya Kiafrika. Usisahau hilo.

Nchi nyingine ipi ya Kiarabu ilipigwa kwa ajili ya Osama?
Sijasemea nchi za Kiafrika wakati wa Osama.

Nimelenga nchi za kiarabu nje ya Africa zilizopigwa kipindi cha Osama.

Marekani walikuwa wanasingizia kuwa wamepata taarifa kuwa yupo nchi fulani au mji fulani, wanaupiga. Kumbe lengo lao likiwa tofauti kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tape measure

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2015
Messages
1,144
Points
2,000

Tape measure

JF-Expert Member
Joined Nov 26, 2015
1,144 2,000
Vita ya tatu ya dunia lazima itatokea itachukua muda mrefu lakini itatokea, nimewahi, nitapigwa na natarajia kupigwa Bann .nauhakika nikiapa.ndisha mada ya kitimoto na kambale bia .na ua....ahhhh sijui mkate divai na wine kama chanzo tena bann nitapatiwa.

Sio kama uzee una umuhimu sana kwa mwanadamu ndiyo ni sawa japo sio muhimu kwa zaidi ya uzeenii
Kama hujaelewa nitaipandisha hii mada vizuri lile jukwaa la UFUNUO ambapo mim sio member ila mada itapelekwa kule bila muanzilishi kuweza kuona comments na kutoa na kupokea maoni mbadala.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
FaizaFoxy

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2011
Messages
69,632
Points
2,000

FaizaFoxy

JF-Expert Member
Joined Apr 13, 2011
69,632 2,000
Sijasemea nchi za Kiafrika wakati wa Osama.

Nimelenga nchi za kiarabu nje ya Africa zilizopigwa kipindi cha Osama.

Marekani walikuwa wanasingizia kuwa wamepata taarifa kuwa yupo nchi fulani au mji fulani, wanaupiga. Kumbe lengo lao likiwa tofauti kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekuelewa sana ulichoandika isipokuwa nakuona hauna uelewa wa nchi za Kiarabu ni zipi na zisizo za Kiarabu ni zipi. Binafsi nimekufahamisha kuwa nchi ya Kiarabu iliyopigwa na Mmerekani kwa ajili ya Osama ni moja tu nayo ni Sudan pekee, nayo ni nchi ya Kiarabu iliyopo Afrika.

Sasa wewe nioneshe ni nchi ipi nyingine, popote duniani, nchi ya Kiarabu iliyopigwa na Mmerekani kwa ajili ya Osama. Kama huwezi kuionesha usiwe unakurupuka kuandika usiyoyaelewa. Hii ni JF, hapa ngoma za kitoto hazikeshi.

Bado nasubiri.
 
laptop90

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2017
Messages
935
Points
1,000

laptop90

JF-Expert Member
Joined Sep 14, 2017
935 1,000
Halafu vita dhidi ya Iran havitakua vya kawaida maana kule mamilioni Wa-Iran wenyewe ni full mzuka na mihemko, hivho Marekani hatopigana akiwa na nia ya kuwakomboa dhidi ya utawala, kwa kifupi hapeleki 'demokrasia' kama afavyo kwenye mataifa mengine, hii itakua vita baina ya Marekani na Iran, tofauti na ile ya hapo Iraq ambayo ilikua baina ya Marekani na Saddam.

Tegemea mamilioni wa Iran kujiunga kwenye ugomvi wakielekea Iraq kuliko wanajeshi wa Marekani, kwa hivyo firepower atakayotumia Marekani ni 'carpet bombing', yajayo yamekaa ovyoo kishenzi, hawa wanataka kutuharibia kadunia ketu haka.
Ndugu yangu, vita ikishapamba moto huko Iran, wa iran watamgeuka Ayatollah na kuanza kumuona kama mtu asiyefaa, unachezea kifo.
 
Kyatile

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2017
Messages
1,263
Points
2,000

Kyatile

JF-Expert Member
Joined Feb 5, 2017
1,263 2,000
Taifa la Marekani haliko upande wa Trump kwenye hii vita, ni Trump yeye kama yeye ndo anapigana. Na bila "kuuza sababu za vita" kwa wananchi wa marekani ukaeleweka basi utakuwa unafight a losing war.

Kwa upande wa Iran Taifa zima limeungana nyuma ya viongozi wao na liko tayari kwa chochote.

Kitendo cha Trump kutishia kupiga Cultural sites za Wairan kimewakera mno Wairan kwa hiyo wako tayari kwa lolote.

Kutokana na hilo, Sioni ni kwa namna gani Trump anaweza kujicommit kwenda vitani na Iran halafu akaungwa mkono na bunge la nchi hiyo lenye mademocrats wengi
When it comes to the interest of America, THE UNITES STATE is one

Sent using Jamii Forums mobile app
 
No retreat no surrender

JF-Expert Member
Joined
Apr 21, 2018
Messages
1,499
Points
2,000

No retreat no surrender

JF-Expert Member
Joined Apr 21, 2018
1,499 2,000
Vita vita vita!! Ukosefu wa ajira, uzibwaji wa myanya ya njia haramu za kupata pesa umepelekea watu wengi kuchukia maisha na kufurahia vita kwasababu hawana cha kupoteza. Ndio hawa wanashinda mitandaoni kushabikia uchochezi wa vita. Hakuna kitu kizuri katika vita. War veratan mmoja wa Kimarekani aliwahi kusema " there is nothing good in war except its ending"
 
FaizaFoxy

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2011
Messages
69,632
Points
2,000

FaizaFoxy

JF-Expert Member
Joined Apr 13, 2011
69,632 2,000
When it comes to the interest of America, THE UNITES STATE is one

Sent using Jamii Forums mobile app
IRAN YAIPIGISHA MAGOTI MAREKANI NA KUILISHA MCHANGA

Ile Marekani tuliyokuwa tunaijua kuwa ni Super Power, imeipigishwa magoti na Jamhuri ya Kiislamu ya lran, baada ya kupata kipigo kikali asubuhi ya leo na kutangaza kuwa haina uwezo wa kuingia vitani na lran.

Huku ulimwengu ukiwa umesubiria jibu kali la Trump na maafisa wote wa Marekani, taarifa iliyotolewa na rais huyo wa Marekani (mcheza kamari) ameandika ujumbe kwenye mtandao wa kijamii kwamba: (Mambo yako safi, tunafuatilia hasara iliyosababishwa na shambulio la lran kwenye kambi yetu kubwa ya kijeshi ya Ainil-Assad).
Hii ni katika hali ambayo kila mtu duniani alitarajia kusikia neno la Trump linalosema: 'Tutajibu.' Lakini imekuwa kinyume chake baada ya kubaini kuwa, lran sio taifa la kuchezea.

Lakini mbali na Trump, Waziri wa Ulinzi wa Marekani bwana Mark Esper amesema: "Tupo tayari kuhitimisha vita vya aina yoyote na lran." Akimaanisha kwamba hatuwezi kuingia vitani na Iran.

Lakini pia Lindsey Graham, Seneta wa chama cha Trump cha Republican naye ameandika: "Msijibu kabisa mashambulizi ya lran."

Aidha habari ndani ya lraq zimefichua kuwa, jeshi la Marekani katika kambi zilizoshambuliwa, limezuia waandishi wa habari kuonyesha hasara zilizotokana na kipigo cha leo cha lran na inasemekana linaficha miili ya askari wake walioangamizwa kama ambavyo linawasafirisha kisirisiri.

Aidha katika hali ya kushangaza jeshi hilo la kigaidi la Marekani limetangaza kwamba hakuna askari wake aliyeuawa, bali eti wale waliouawa ni raia wa lraq. Nayo serikali ya lraq imetangaza mapema leo kwamba, hakuna raia wake hata mmoja aliyeuawa wala kujeruhiwa katika kipigo hicho.

Aidha habari zinasema kwamba mamia ya askari wa Marekani wameonekana wakikimbia hovyo huku wengine wakiwa utupu, kwa kuwa shambulizi limefanyika majira ya saa saba za usiku wakiwa wamelala.

Aidha jeshi la lran limetangaza kwamba utitiri wa makombora yake kote nchini, yamewekwa tayari kwa ajili ya kushambulia maeneo yote ya kijeshi ya Marekani, iwapo Washington itajibu hata kidogo tu.

Hiki ni kipigo cha pili baada ya kile cha kutunguliwa ndege yake ya kisasa ya drone ya Global Howk ya Marekani miezi michache iliyopita.

Hii ndio lran na hii ndio Marekani. Kwa leo Iran imeithibitishia Marekani kwamba Jamhuri ya Kiislamu ya lran ni Super Power.
 
FaizaFoxy

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2011
Messages
69,632
Points
2,000

FaizaFoxy

JF-Expert Member
Joined Apr 13, 2011
69,632 2,000
Ndugu yangu, vita ikishapamba moto huko Iran, wa iran watamgeuka Ayatollah na kuanza kumuona kama mtu asiyefaa, unachezea kifo.
Mbona vita imeshaanza na Iran kashambulia kambi mbili za majeshi ya Kimarekani zilizopo ndani ya Iraq. Au huelewi unachokisoma?

Au ulitaka vita ianze vipi tena? Iran imeshambuliwa kwa kuuliwa jenerali wake, nayo imejibu kwa kusambaratisha kambi mbili za majeshi ya Kimarekani, bado tu hapo vita haijaanza?
 
Hennah

Senior Member
Joined
Sep 13, 2019
Messages
122
Points
250

Hennah

Senior Member
Joined Sep 13, 2019
122 250
Wamarekani wamezidi sana jmn walianza kumpima nguvu yule wa Korea wakakuta amejizatiti.Huku juzi kati nimeona wanawatungua majemedari wa Iran ndani ya msafara yaani gari linapigwa kombora watu wameshuka wanaungua kuokoa maisha na huko wanakoelekea wanatunguliwa.Kama ni nchi yenye nguvu kwanini wasiwapeleke mahakama ya kimataifa kuliko kufanya vile? Wana misuse powers zao sana
 
njoo kwetu

JF-Expert Member
Joined
Jan 11, 2016
Messages
417
Points
1,000

njoo kwetu

JF-Expert Member
Joined Jan 11, 2016
417 1,000
Tupe chanzo cha hii habari yako.
IRAN YAIPIGISHA MAGOTI MAREKANI NA KUILISHA MCHANGA

Ile Marekani tuliyokuwa tunaijua kuwa ni Super Power, imeipigishwa magoti na Jamhuri ya Kiislamu ya lran, baada ya kupata kipigo kikali asubuhi ya leo na kutangaza kuwa haina uwezo wa kuingia vitani na lran.

Huku ulimwengu ukiwa umesubiria jibu kali la Trump na maafisa wote wa Marekani, taarifa iliyotolewa na rais huyo wa Marekani (mcheza kamari) ameandika ujumbe kwenye mtandao wa kijamii kwamba: (Mambo yako safi, tunafuatilia hasara iliyosababishwa na shambulio la lran kwenye kambi yetu kubwa ya kijeshi ya Ainil-Assad).
Hii ni katika hali ambayo kila mtu duniani alitarajia kusikia neno la Trump linalosema: 'Tutajibu.' Lakini imekuwa kinyume chake baada ya kubaini kuwa, lran sio taifa la kuchezea.

Lakini mbali na Trump, Waziri wa Ulinzi wa Marekani bwana Mark Esper amesema: "Tupo tayari kuhitimisha vita vya aina yoyote na lran." Akimaanisha kwamba hatuwezi kuingia vitani na Iran.

Lakini pia Lindsey Graham, Seneta wa chama cha Trump cha Republican naye ameandika: "Msijibu kabisa mashambulizi ya lran."

Aidha habari ndani ya lraq zimefichua kuwa, jeshi la Marekani katika kambi zilizoshambuliwa, limezuia waandishi wa habari kuonyesha hasara zilizotokana na kipigo cha leo cha lran na inasemekana linaficha miili ya askari wake walioangamizwa kama ambavyo linawasafirisha kisirisiri.

Aidha katika hali ya kushangaza jeshi hilo la kigaidi la Marekani limetangaza kwamba hakuna askari wake aliyeuawa, bali eti wale waliouawa ni raia wa lraq. Nayo serikali ya lraq imetangaza mapema leo kwamba, hakuna raia wake hata mmoja aliyeuawa wala kujeruhiwa katika kipigo hicho.

Aidha habari zinasema kwamba mamia ya askari wa Marekani wameonekana wakikimbia hovyo huku wengine wakiwa utupu, kwa kuwa shambulizi limefanyika majira ya saa saba za usiku wakiwa wamelala.

Aidha jeshi la lran limetangaza kwamba utitiri wa makombora yake kote nchini, yamewekwa tayari kwa ajili ya kushambulia maeneo yote ya kijeshi ya Marekani, iwapo Washington itajibu hata kidogo tu.

Hiki ni kipigo cha pili baada ya kile cha kutunguliwa ndege yake ya kisasa ya drone ya Global Howk ya Marekani miezi michache iliyopita.

Hii ndio lran na hii ndio Marekani. Kwa leo Iran imeithibitishia Marekani kwamba Jamhuri ya Kiislamu ya lran ni Super Power.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jay One

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2010
Messages
13,442
Points
2,000

Jay One

JF-Expert Member
Joined Nov 12, 2010
13,442 2,000
Let's goo gooo, fire fire, nisisikie US nisameheee, naomba msaada jamanii, sasa ni fire to fire, hit me i hit you, Ayatollah regime will disappear forever very soon. Time is clicking. I wish i could be Trump, yaani napiga Iran inageuka Hell fire, navyopenda kupigana jamani, i love war, i love war, i love fighting, inaleta peace ya milele.. Only fighting/war will bring everlasting peace..!! Diplomacy totally failed to bring peace. Mtashangaa US akianza kichapo, raia wengi wa Iran watamgeuka Ayatollah bila kutegemea, mtanikumbuka kwa hili, UFO plus Aliens on the way to Ayatollah soon. Balaa hii
 
lolypop

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2015
Messages
1,622
Points
2,000

lolypop

JF-Expert Member
Joined Jul 29, 2015
1,622 2,000
IRAN YAIPIGISHA MAGOTI MAREKANI NA KUILISHA MCHANGA

Ile Marekani tuliyokuwa tunaijua kuwa ni Super Power, imeipigishwa magoti na Jamhuri ya Kiislamu ya lran, baada ya kupata kipigo kikali asubuhi ya leo na kutangaza kuwa haina uwezo wa kuingia vitani na lran.

Huku ulimwengu ukiwa umesubiria jibu kali la Trump na maafisa wote wa Marekani, taarifa iliyotolewa na rais huyo wa Marekani (mcheza kamari) ameandika ujumbe kwenye mtandao wa kijamii kwamba: (Mambo yako safi, tunafuatilia hasara iliyosababishwa na shambulio la lran kwenye kambi yetu kubwa ya kijeshi ya Ainil-Assad).
Hii ni katika hali ambayo kila mtu duniani alitarajia kusikia neno la Trump linalosema: 'Tutajibu.' Lakini imekuwa kinyume chake baada ya kubaini kuwa, lran sio taifa la kuchezea.

Lakini mbali na Trump, Waziri wa Ulinzi wa Marekani bwana Mark Esper amesema: "Tupo tayari kuhitimisha vita vya aina yoyote na lran." Akimaanisha kwamba hatuwezi kuingia vitani na Iran.

Lakini pia Lindsey Graham, Seneta wa chama cha Trump cha Republican naye ameandika: "Msijibu kabisa mashambulizi ya lran."

Aidha habari ndani ya lraq zimefichua kuwa, jeshi la Marekani katika kambi zilizoshambuliwa, limezuia waandishi wa habari kuonyesha hasara zilizotokana na kipigo cha leo cha lran na inasemekana linaficha miili ya askari wake walioangamizwa kama ambavyo linawasafirisha kisirisiri.

Aidha katika hali ya kushangaza jeshi hilo la kigaidi la Marekani limetangaza kwamba hakuna askari wake aliyeuawa, bali eti wale waliouawa ni raia wa lraq. Nayo serikali ya lraq imetangaza mapema leo kwamba, hakuna raia wake hata mmoja aliyeuawa wala kujeruhiwa katika kipigo hicho.

Aidha habari zinasema kwamba mamia ya askari wa Marekani wameonekana wakikimbia hovyo huku wengine wakiwa utupu, kwa kuwa shambulizi limefanyika majira ya saa saba za usiku wakiwa wamelala.

Aidha jeshi la lran limetangaza kwamba utitiri wa makombora yake kote nchini, yamewekwa tayari kwa ajili ya kushambulia maeneo yote ya kijeshi ya Marekani, iwapo Washington itajibu hata kidogo tu.

Hiki ni kipigo cha pili baada ya kile cha kutunguliwa ndege yake ya kisasa ya drone ya Global Howk ya Marekani miezi michache iliyopita.

Hii ndio lran na hii ndio Marekani. Kwa leo Iran imeithibitishia Marekani kwamba Jamhuri ya Kiislamu ya lran ni Super Power.
Teh teh teh mwarabu bana ukimuacha usimpige anadai unamuogopa, ukimpiga umemchokoza lazima nilipe kisasi
 
Forum statistics

Threads 1,391,862
Members 528,498
Posts 34,092,305
Top