Iraq: Iran yashambulia kwa makombora kambi mbili za Jeshi za Marekani, Ain al-Asad na Erbil

Tuacheni zile hang over tulizopewa kuwa US ndiyo kila kitu, nataka kuwambieni zipo nchi na wajanja huwa wanawadamisha US sema uwa wanaficha, hawa jamaa hawana lolote, Iran waongezee dozi mpaka mashoga wakimbie dadeki
 
Nikikumbuka kilichotokea Afghanistan na Iraq,naona si busara kuingia kingi za mmarekani katika enzi hizi kwa kupambana naye ana kwa ana.Bora Iran ingetumia proxy wars kudhoofisha U.S presence in middle east,something they are very good at.General Soleymani alianzisha mtandao wa militias maeneo mengi ya hapo ghuba ambao kama Iran wakiendeleza yale aliyoyaacha,US wataumizwa sana.

Lakini kuingia front kupambana rasmi na US ni kitu amabacho Iran hawezi kuafford,na hii mbilinge US alijua itatokea na alikuwa anatafuta chance hii,ndio sababu ya provocation ya kumuua mkuu wa majeshi maalum wa Iran.America hii ya sasa sio ile ya Vietnam.Now they are full of "evil technologies", ambazo nadhani only Russia can afford them.Huzitumia hizo kulingana na ukubwa wa vita na mahitaji yake.

Yes i agree huwezi kukaa kimya ilhali mtu katoka huko na kumuua mkuu wako wa majeshi,lakini lazima ujiulize ni kwanini kafanya hivyo,even America knows wameua mkuu wa majeshi wa Iran,na bado wakafanya operesheni.Iran iwe makini sana,sababu kwa hili dunia nzima inategemea approach ya Iran.Nadhani proxy wars ndio sindano inayomuingia taratibu ila kwa uhakika mmarekani pale ghuba,ndio sababu wakamuua Soleymani,alikuwa mwiba sana kwao.
 
Bwana Utam, UNAPO MJUA ADUI YAKO
UMESHINDA NUSU YA VITA!
ZILE DRONE ZA US ZILIZO SHUSHWA NA IRANI NI MOJAWAPO YA MBINU YA KUMJUA ADUI YAKO!
KOSA ALILO LIFANYA IRAN BAADA YA KUSHUSHA ZILE DRONE NI KUZIPELEKA KWENYE SEHEMU ZAKE NYETI KUZIFANYIA UCHUNGUZI!
KUMBE WAO NDIO WANACHUNGUZWA....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nikikumbuka kilichotokea Afghanistan na Iraq,naona si busara kuingia kingi za mmarekani katika enzi hizi kwa kupambana naye ana kwa ana.Bora Iran ingetumia proxy wars kudhoofisha U.S presence in middle east,something they are very good at.General Soleymani alianzisha mtandao wa militias maeneo mengi ya hapo ghuba ambao kama Iran wakiendeleza yale aliyoyaacha,US wataumizwa sana.Lakini kuingia front kupambana rasmi na US ni kitu amabacho Iran hawezi kuafford,na hii mbilinge US alijua itatokea na alikuwa anatafuta chance hii,ndio sababu ya provocation ya kumuua mkuu wa majeshi maalum wa Iran.America hii ya sasa sio ile ya Vietnam.Now they are full of "evil technologies", ambazo nadhani only Russia can afford them.Huzitumia hizo kulingana na ukubwa wa vita na mahitaji yake.Yes i agree huwezi kukaa kimya ilhali mtu katoka huko na kumuua mkuu wako wa majeshi,lakini lazima ujiulize ni kwanini kafanya hivyo,even America knows wameua mkuu wa majeshi wa Iran,na bado wakafanya operesheni.Iran iwe makini sana,sababu kwa hili dunia nzima inategemea approach ya Iran.Nadhani proxy wars ndio sindano inayomuingia taratibu ila kwa uhakika mmarekani pale ghuba,ndio sababu wakamuua Soleymani,alikuwa mwiba sana kwao.
US kaomba poo, Anataka amani! Marekani anamjua Irani kuliko unavyodhani, hataki vita naye, anajua madhara hayakuwa madogo kwake ata kama atashinda

Sent using Jamii Forums mobile app
 
UNAPO MJUA ADUI YAKO
UMESHINDA NUSU YA VITA!
ZILE DRONE ZA US ZILIZO SHUSHWA NA IRANI NI MOJAWAPO YA MBINU YA KUMJUA ADUI YAKO!
KOSA ALILO LIFANYA IRAN BAADA YA KUSHUSHA ZILE DRONE NI KUZIPELEKA KWENYE SEHEMU ZAKE NYETI KUZIFANYIA UCHUNGUZI!
KUMBE WAO NDIO WANACHUNGUZWA....

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ni jamaa bwana. Hivi unadhani hayo unayosema Iran hawakuyajua? Unajua kiwa Irani anatengeneza drone zake mwenyewe, Unajua kuwa Irani inaunda ndege na makombora yake mwenyewe? It seems hujaelewa nguvu za Iran.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom