CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,997
Kuna sumu kali ni balaaa, watu wamejivua magamba ya #teambazazi na kujivika ngozi ya #teamrafiki , chakushangaza sumu waliyo nayo ni ile ile.
Mmedanganywa na nini? charminglady, Lady niece, Passion Lady, Honey Faith, tinna cute, Heaven on Earth, miss neddy, Munkari, na wengineo.
Umeona eeeh... Tumeliwa kekundu!!!