excel
JF-Expert Member
- Jul 8, 2011
- 22,434
- 17,861
hivi mtu akiwa under the influence of alcohol, huwa ana-behave vipi?
nimeona list ya wadada!!
umewataja c mchezo!!hata jibu sina!!
hivi mtu akiwa under the influence of alcohol, huwa ana-behave vipi?
nimeona list ya wadada!!
umewataja c mchezo!!hata jibu sina!!
ndio maana yake!!
swaum kali kweli!!
hivi mtu akiwa under the influence of alcohol, huwa ana-behave vipi?
Pole dada
mi wala sinywagi pyombe aisee
hebu Lady niece njoo mjibu Excel huku!!
asante!!ila ungeniambia pole
muweka hazina!!
wewe unakunywa nini sweet sis PL?
havent you ever gotten yourself confused?
Kwani kamati ishapitisha jina lako? Mimi nilikua nimetoka kidogo, Mndengereko hajaniambia hilo
mkuu utafiti Passion Lady ni member halali mkuu utafiti ashapata uanachama so ruksa kujua siri za #teamrafiki na pia anataka cheo cha mweka hazina wa kundi
atakujuza tu maadam umerudi
Mndengereko cam zis way puliiiiiz!!
i miss u moreThank you so much rafiki... Miss uuu!!!!!!!
mi wala sinywagi pyombe aisee
hebu Lady niece njoo mjibu Excel huku!!
wewe Excel mtu ambaye hajapombeka wala hana hamu
na pombe, na wala hana nia kwani hajawahi kupombeka
na isitoshe yeye hana kiu kwani hajawahi kabisa
tuachane na hayo!! njoo tupeane upendo bana leo nisiku yenu!!
love you soo much Lady niece! happy women's deiya!
![]()
all women in here! this is for you!!!!
mbona kama umenikasirikia hivi? lengo kuu la teamrafiki ni kupendana, kuonyeshana upendo! umenielewa lakini?
sasa punguza hasira nikuambie kitu...
Huyyo ndo cute mimi mtt muzuri........
woooow!! happy mamaz day tinna beautiful!! nakupenda sana tinna!!