Sword
JF-Expert Member
- Apr 15, 2013
- 864
- 183
Kwa ajili yako ntakaribia, mimi na wewe....wote mnakaribishwa team rafiki
Kwa ajili yako ntakaribia, mimi na wewe....wote mnakaribishwa team rafiki
Hivi na mie naweza kujiunga kwenye hii team?
nini mbaya?...
tinna cute mwallu amekupa kadi yako? Nimeona jina lako kwenye orodha ya waombaji
Mndengereko na utafiti jibuni swali
mi swaumu kali najiandaa kufturu!!
nitarudi baadae mkishamjibu DZUDZUKU!!
bwana MND naona unalazimisha niiingie ushawishini... nini mbaya?
ubazazi wako.
Mndengereko na utafiti jibuni swali
mi swaumu kali najiandaa kufturu!!
nitarudi baadae mkishamjibu DZUDZUKU!!
nice avatar tinna cute...! habari za siku nyingi?
Kuna kitu kilikuwa kinaitwa #teambazazi , na hivi sasa mmeanzisha #teamrafiki , swali hili kundi jipya limeanza kutokana na uwepo wa kwaresma?
Maana katika vipindi kama hv baadhi ya mambo yanapungua mtaani na kipindi kikiisha mambo yanaendelea.
#teamrafiki itaendelea kuwepo hata kwaresma ikiisha?
Cc: Lady niece, Mentor, Passion Lady, miss neddy, Mndengereko na wengineo.
Nice avatar! Ndio mnaamzaga hivyo hivyo!
Red card!
Kuna kitu kilikuwa kinaitwa #teambazazi , na hivi sasa mmeanzisha [URL=https://www.jamiiforums.com/usertag.php?do=list&action=hash&hash=teamRafiki]#teamRafiki [/URL] , swali hili kundi jipya limeanza kutokana na uwepo wa kwaresma?
Maana katika vipindi kama hv baadhi ya mambo yanapungua mtaani na kipindi kikiisha mambo yanaendelea.
[URL=https://www.jamiiforums.com/usertag.php?do=list&action=hash&hash=teamRafiki]#teamRafiki [/URL] itaendelea kuwepo hata kwaresma ikiisha?
Cc: Lady niece, Mentor, Passion Lady, miss neddy, Mndengereko na wengineo.