Ntuzu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2013
- 17,418
- 10,877
Last edited by a moderator:
kwani kwaresma inasema kuchukiana
lakini sio kumisiana kama nyie
Ni muhimu mtu kama Arushaone kuungana na #TEAMRAFIKI karibu sana
Hahaaa... Asante sana.
Nikija kwako inabidi nije na Mlinzi, usije ukanirukia buree!! Unitoe udhu.
Karibu. Ile swali langu
lilikua lina maana zaidi ya hii.
Honestly sijaona mahali panakohitajika pesa hapa, I understand I am
foolish sometimes though. I maight have missed a point downt the line as
to why
#Teamrafiki
. Wakuu hebu ng'amua hapa
Mndengereko,
Ntuzu,
Karucee,
Mr Rocky,
miss chagga,
mwallu,
sina hiyo tabia kwani baba paroko hajanifundisha hivyo kabisa
na huu mfungo niliofunga si nitakuwa nimefanya kazi bure
wewe unataka nikose mbingu wakati najiandaa kutwaliwa
teh...!...!:target:
anza kuwa member kwanza bibie ukishayazoea mazingira na kujua org inafanye kazi tutakupa vyeo vingine.
na kwanini umekimbilia kuwa mshika fedha lol!!
Ha ........
Kila la kheri mweka hazina mtarajiwa
Aise binamu zangu nimewamiss kuanzia Chocs, Paloma, Passion Lady, Blaki Womani, Madame B Zion Daughter, Zinduna, ladyfurahia, mwallu, Preta, Lady doctor, eveyn salt, Heaven on Earth, gfsonwin, sweetlady, yaani sijui mmepotelea wapi
karibu sana binamu ujiunge na #teamrafiki
tinna cute mwallu amekupa kadi yako? Nimeona jina lako kwenye orodha ya waombajiNakaribishwa hapa ndani?