Window7
JF-Expert Member
- Sep 17, 2013
- 4,109
- 3,054
umbea niue!!eti Window7 nani huyo
aliekuchukulia waifuyo na under 20 wako!!
Mwenyekiti wa #TeamBazaaz i.e Excel.
Last edited by a moderator:
umbea niue!!eti Window7 nani huyo
aliekuchukulia waifuyo na under 20 wako!!
teamrafiki itaendelea kuwepo sio baada ya qwaresma tu bali hata baada ya sisi kuondoka hapa duniani watoto wetu watakuja kuliendeleza kundi coz hakuna asiependa urafiki na upendo kwa binaadamu wenzake. So kuwepo badala ya qwaresm wory out.
aisee ntuzu unanichukia aisee!! dah!
haya bana, mi naenda.. nageuzia hapa kabisaaaa!!! nna dam chaf eenh!
nice avatar tinna cute...! habari za siku nyingi?
Nice avatar! Ndio mnaamzaga hivyo hivyo!
Red card!
Hahahaha!!!!!! ume muumbua.
Alishaanza, oh nice avatar! Ubazazi tu unamsumbua!
Uko sawa kabisa mkuu. Na nivizuri iandikwe tarehe ya leo 6 March 2014 kama ni kumbukumbu ya tukio la kutangazwa tasmi #TEAMRAFIKI na aidhimishwe kila mwaka na member wake
Cc Mr Rocky, Ntuzu, mwallu, Tized, miss chagga, Lady niece na member wengine wote
Nice avatar! Ndio mnaamzaga hivyo hivyo!
Red card!
Umeona eeenh!!! hapa hapati kitu na ubazazi wake.
Kumbe na wewe umeliona hilo!!!
Uko sawa kabisa mkuu. Na nivizuri iandikwe tarehe ya leo 6 March 2014 kama ni kumbukumbu ya tukio la kutangazwa tasmi #TEAMRAFIKI na aidhimishwe kila mwaka na member wake
Cc Mr Rocky, Ntuzu, mwallu, Tized, miss chagga, Lady niece na member wengine wote
Umeona Wewe Excel ????
wauuuhh!!!! thanx jamani,,,, salama kabisa mzima ww?
Tutapewa kadi?