Lady niece
JF-Expert Member
- Feb 18, 2014
- 953
- 414
usiku mwema marafiki zangu wote wa teambazazi
Usiku mwema #TeamRafiki
Usiku mwema #TeamRafiki
sitaki kuingia kichwa kichwa unajua...! nipeni miaka mitano ya kujiandaa! ila kadi yangu iwepo maaaaaalum kwa ajili ya mfalme excel..
oky my dia ngoja nimwachie afanye
mm nifanye majukumu yangu halafu
na majukumu ya home pia si unajua
mwanamke yuko kote kote
sitaki kuingia kichwa kichwa unajua...! nipeni miaka mitano ya kujiandaa! ila kadi yangu iwepo maaaaaalum kwa ajili ya mfalme excel..
mkuu yaani huyo ukimuingiza tutajua umepewa hongo maana hajakidhi vigezo kabisa yaaaniNatamani nikupenyeze kwenye hii team ila katiba inanibana
sitaki kuingia kichwa kichwa unajua...! nipeni miaka mitano ya kujiandaa! ila kadi yangu iwepo maaaaaalum kwa ajili ya mfalme excel..
mbona mapema hivyo rafiki?good night @#teamrafiki
mkuu yaani huyo ukimuingiza tutajua umepewa hongo maana hajakidhi vigezo kabisa yaaani
utafiti na Mndengereko, hivi huu ni upendo kweli jamani natishiwa maisha?
jamani huu si upendo kabisa...!! kumbukeni upendo ni amri kuu mlioachiwa ninyi watu!!
mkuu yaani huyo ukimuingiza tutajua umepewa hongo maana hajakidhi vigezo kabisa yaaani
mbona mapema hivyo rafiki?
by the way ahsante kwa picha. tumeipenda.
utafiti na Mndengereko, hivi huu ni upendo kweli jamani natishiwa maisha?
mamii miss neddy usiponiona kwenye castle yangu ujue niko mabwepande aisee! duh.. ntuzu we ngoja!
hahaha mkuu umeyataka mwenyewe,so u get what u deserve.
siunajua haka kabaridi tenaaaaaa, then usisahau kuniandalia kadi
hahah tupe muda kidogo tumeanza kuona umeanza kujua makosa yakomnd.. where is the love man.. you are praising love you know!!
halafu kondoo mmoja akipotea si lazima arudishwe?