Introducing teamrafiki

Introducing teamrafiki

images

Thx my friend, Mungu akubariki!
 
unasemajeeee?? aisee naona unataka kuchafua hali ya hewa!! huo urafiki unalazimishwa?

kuwa na upendo lazima ujiunge kwenye saccoss ama? hii si willingness ya mtu?

ni willingness yap but inapobidi itabidi tutumie forcing kukuleta huku ni kwa faida yetu sote aiseeee
 
unasemajeeee?? aisee naona unataka kuchafua hali ya hewa!! huo urafiki unalazimishwa?

kuwa na upendo lazima ujiunge kwenye saccoss ama? hii si willingness ya mtu?

Tumeshapewa ruksa! Liwalo na liwe!
 
[URL=https://www.jamiiforums.com/usertag.php?do=list&action=hash&hash=teamrafiki]#teamrafiki [/URL] imeanzishwa kabla ya Kwaresma! Kwahiyo lazima idumu daima!

Na hatutaki ufadhili kutoka sehemu yeyote na nchi yeyote! Pesa zenu chafu zinafadhili Ubazazi
Ntuzu #teamrafiki imetangazwa leo=imeanzishwa leo.

Hakuna pesa chafu dunia hii, peleka kuku kanisani, baadae atapigwa mnada/atabadilishwa kuwa pesa.
Na ukizicheki zina picha za ajabu ajabu lakini tunazitumia, hamtaki ufadhili mna maana gani?

Rafiki jina, matendo mke.
 
Last edited by a moderator:
ni willingness yap but inapobidi itabidi tutumie forcing kukuleta huku ni kwa faida yetu sote aiseeee

unaweza kunieleza mdalaliko wa katiba humu?

mamii mambo mengine usiwe unaingia tu from nowhere! think first!
 
unaweza kunieleza mdalaliko wa katiba humu?

mamii mambo mengine usiwe unaingia tu from nowhere! think first!

sasa tutakuelezaje kuhusu katiba wakati uko nje ingia ndani upewe darsa maridhawa kuhusu hii team
 
Unajiungaje? maana naona kila mtu anaonyesha uwezo wake wa kupayuka badala ya kueleza mambo ya msingi kuhusu hii issue!
 
Last edited by a moderator:
we ngoja..! leo nakufinyia kwenye blanketi mpaka uniambie qudadeki!!

yani leo! halafu nimekuona sehemu ambayo sikutegemea kabisa leo!

hahahahahahahahaha nilikuwa napita kuangalia kama upogo
 
hahahahahahahahaha nilikuwa napita kuangalia kama upogo

unataka kuehuka eenh!! ngoja nikakuchokoze kule! karucee alikuja qudadeki akakimbia siku hiyo hiyo!

watu wamepinda kule! ila usiogope!!!
 
unataka kuehuka eenh!! ngoja nikakuchokoze kule! karucee alikuja qudadeki akakimbia siku hiyo hiyo!

watu wamepinda kule! ila usiogope!!!

hahahahahaha usimwage mtama kwenye kuku wengi bwana
 
Back
Top Bottom