Ntuzu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2013
- 17,418
- 10,877
Last edited by a moderator:
Teh Teh Teh
Yani Shemeji yako lazima arudi nayo!
Karibu sana member wapya tunategemea uwepo wenu kutaongeza uhai wa #teamrafiki
Cc kiwatengu gfsonwin
Kwa Niaba ya #TeamRafiki (protocali zote zimezingatiwa) Nichukue fursa hii adhimu kukukaribisa dada yetu gfsonwin.
Tunajisikia kuthaminika sana kuwa na wewe miongoni mwetu. Youa are such a good person to have arround.
Karibu sana.
ccutafiti OLESAIDIMU, Kiwatengu,Mndengereko Mr Rocky, sungura1980 Mokoyo mwallu miss neddy miss chagga Heaven on Earth charminglady Mentor Karucee na Wengineo woote.
Ladies and gentleman napenda kuchukua nafasi hii nikiwa kama co-founder wa #team RAFIKI nikiambatana na mwenzangu utafiti kuwatambulishia rasmi(official announcement) ya #team RAFIKI
#team RAFIKI ni nini?(origin ya #team RAFIKI ) .#team RAFIKI ni matokeo ya uhitaji wa timu ya marafiki wanaoshauriana na kupeana mikakati mbalimbali inayodumisha amani,upendo na maadili hapa jamhuri ya MMU na cc(chit chat) so lengo la kuanzishwa kwake ni kupeana ushauri katika mambo mbambaliya kimaisha pamoja na kuongeza urafiki wetu members wa jamiiforums cause tunaamini jf ni means tu ya kukutana lakini urafiki wa kweli upo au unatokea mahali popote.
Nani anaweza kuwa #team RAFIKI ??
Kwa ufupi kila mtu anaweza kuwa #team RAFIKI coz lengo kuu ni kudumisha urafiki wetu and nothing else so far kuna senior member na junior members wa #team rafiki nitawataja kwa ujumla wao bila ya ku classify yupi yupi ni yupi ukiacha cofounder Mndengereko na bw. utafitti member wengine ni miss chagga mwallu Ntuzu Mr Rocky Ntuzu Mokoyo miss nedy Mentor Heaven on Earth @ Tized kukucd Lady niece Sungura 1980
(kama kuna mwingine nimemsahau naomba kukumbushwa tafadhali)
updates: newest member: J.lee atug HHHK Dinazarde @karucee
So nyooooooote mnakaribishwa katika #team RAFIKI .
Pia ukiwa na swali au lolote la kuchangia unakaribishwa katika uzi huu pia kama kuna chochote ambacho nitakuwa nimekisahau members wenzangu watanisaidia kurekebisha au kuongeze,naomba kuwasilisha
CC : Nicas Mtei , mwekundu
Nope ubuyu kidogo, mamboo yalikua vipi?am honored brother!!!
let love lead!