Miss Neddy
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 14,684
- 8,754
Ngoja nikuitie miss neddy akuhoji kidogo tuone Km tutamusamehe tukupe card ya njano!
sezae msameheni atatakasika tu huyu
Last edited by a moderator:
Ngoja nikuitie miss neddy akuhoji kidogo tuone Km tutamusamehe tukupe card ya njano!
Yule Ni bazazi aliekubuhu!
jamani eti mi kukusifi tu nishaitwa bazazi!!!
is that fair tinna?
Malengo ni kuhakikisha jf members wote wanakua [URL=https://www.jamiiforums.com/usertag.php?do=list&action=hash&hash=teamrafiki]#teamrafiki [/URL] isipokua wale walioshindikana kama Excel, mwekundu na wanzake ila hata hao mwisho watakubali. Kadi wote mtapata ila kuna vigezo na mashart kwa kila muombaji, subiri Mr Rocky aseme neno upatiwe kadi yako sasa
labda nimsaidie tu mkuu Mr Rocky naona atakuwa busy taarifa za kiintelijisia zinaonyesha kwamba honeyfaith una tabia nzuri ambazo zinaendana na maadili ya #teamrafiki so kwa kuwa umekidhi vigezo na sisi lengo letu ni kudumisha urafiki wetu so umekubaliwa na umepewa every acces ya kuwa mwanachama halala wa #teamrafiki so tafadhali ingia kwenye chama kadi yako itakufuata hukohuko.
Mwenzio ana uzoefu alijua ulikotaka kuelekea.
sezae msameheni atatakasika tu huyu
na wewe ukamsapoti kabisa tina cutie?
hivi hiyo avata ni wewe ama?? hmm!
Mwenzio ana uzoefu alijua ulikotaka kuelekea.
mpaka sasa mi ni memba na kadi nishachukua
hiyo kazi ya utunza fedha nina uzoefu nayo
nyumbani kwangu nina kibubu chenye
kufuli,siweki pesa benki kuepuka foleni!!
Uko sawa kabisa mkuu. Na nivizuri iandikwe tarehe ya leo 6 March 2014 kama ni kumbukumbu ya tukio la kutangazwa tasmi #TEAMRAFIKI na aidhimishwe kila mwaka na member wake
Cc Mr Rocky, Ntuzu, mwallu, Tized, miss chagga, Lady niece na member wengine wote
jamani msimalize kadi... bado niko njia panda naja...!!!
haikuanza leo bali ilianza feb14 hivyo
leo imetangazwa tu hapa ili kuwafahamisha
wengine wasiojua hapa hivyo jua hilo rafiki
Hahaahahahaha utaipa kamati kazi ya ziada kukuchunguza
Hahahaaaa
Kutwaliwa nako mtihani aisee. Just kidding sweetheart.
We are saved just by Grace neither by power nor mighty one is saved.
Keep the prayers going, embrace the Holy Ghost and let Him take control. We are living at times where we are now listening with our eyes and reasoning by our feelings, keep away from this own trap and you shall see the Father and share his Kingdom.
If very one can find answers to this questions honestly with logical consistency, imperical adequacy and existential relevancy, assuredly life hapa duniani na baada ya duniani yatanyooka (mtu asiniulize kama yapo maana baada ya kujibu utakua umeshajua)
1. Origin : Who are we, where from? etc etc
2.Meaning: what it means to be a human? what brings value and meaning in life?
3.Morality: (right and wrong..... Good and Evil)
4.Destiny: What next after life lived?....
All the best bana nsije nkaanza kukuchanganya bure.
Many thanks. Tz
CC Mtambuzi, Mr Rocky, Karucee, Kaunga, Eiyer (paroko), utafiti, watu8, Mndengereko na #TR yote
jamani msimalize kadi... bado niko njia panda naja...!!!
Mndengereko njoo uone kwa macho yako ntashindwa kukusimulianimetoa angalizo.. msimalize kadi...!! hii kamati isijali! niko tayari kufainishwa! lol!
Nddo mie unasemaje?????
nimetoa angalizo.. msimalize kadi...!! hii kamati isijali! niko tayari kufainishwa! lol!
nimetoa angalizo.. msimalize kadi...!! hii kamati isijali! niko tayari kufainishwa! lol!