utafiti
JF-Expert Member
- Jul 18, 2013
- 12,783
- 7,671
Nawapenda wote
Cc #TEAMRAFIKI
Cc #TEAMRAFIKI
hahahahahaha usimwage mtama kwenye kuku wengi bwana
Kwa hiyo sie ndo tumejivika ngozi ambayo si yetu ama?maana sijakuelewa vizuri
Unajiungaje? Maana naona kila mtu anaonyesha ujuaji wake badala ya kuzungumzia hii team ila nasi tujue
Ntuzu [URL=https://www.jamiiforums.com/usertag.php?do=list&action=hash&hash=teamRafiki]#teamRafiki [/URL] imetangazwa leo=imeanzishwa leo.
Hakuna pesa chafu dunia hii, peleka kuku kanisani, baadae atapigwa mnada/atabadilishwa kuwa pesa.
Na ukizicheki zina picha za ajabu ajabu lakini tunazitumia, hamtaki ufadhili mna maana gani?
Rafiki jina, matendo mke.
Me nafasi zangu nishamaliza kwa familia yangu kukucd na miss chagga
baba shikamoo
Marahaba mwanangu mpendwa. Umeamkaje?
sitaki kuingia kichwa kichwa unajua...! nipeni miaka mitano ya kujiandaa! ila kadi yangu iwepo maaaaaalum kwa ajili ya mfalme excel..
kadi zikiisha usitushitaki
halafu hatutaki mabazazi
na wewe unaonekana ni bazazi
huo sasa umbea.... ubabzazi unaonekana machoni? kuongea vizuri ndo ubazazi?
silence death