Introducing teamrafiki

Introducing teamrafiki

kadi ziko tele wasiwasi wako wa nini?

sitaki kuingia kichwa kichwa unajua...! nipeni miaka mitano ya kujiandaa! ila kadi yangu iwepo maaaaaalum kwa ajili ya mfalme excel..
 
hatutakupa uanachama kama unaleta u Bazazi wako
hapa chama chetu si mabazazi kamwe haturuhusu
marafiki wa aina hiyo hapa sisi ni waupendo, wamoja
na ambao tunaheshimiana hivyo ondoa ubazazi wako

niko njia panda... ngoja kwanza nifanye finishing... au kama mnanipa uanachama huru, sawa tukubaliane kabisa!!
 
Last edited by a moderator:
hatutakupa uanachama kama unaleta u Bazazi wako
hapa chama chetu si mabazazi kamwe haturuhusu
marafiki wa aina hiyo hapa sisi ni waupendo, wamoja
na ambao tunaheshimiana hivyo ondoa ubazazi wako

hadi ww waniita mm bazazi? hujui hilo ni function ya mzabzab? au unadhani natumia id mbili?
 
nini tena mzee! unajua napewa maelezo na lady n, mnd na wewe, sasa hadi najichanganya!!!

nimegusa wapi jamani? tupendane aisee!!

Natamani nikupenyeze kwenye hii team ila katiba inanibana
 
oky my dia ngoja nimwachie afanye
mm nifanye majukumu yangu halafu
na majukumu ya home pia si unajua
mwanamke yuko kote kote

basi mwachie yy hiyo kazi ya kushika ankara wewe endelea na majukumu yako mengine
 
Natamani nikupenyeze kwenye hii team ila katiba inanibana

katiba tena? nani mwanasheria? mara hii mmeshabana jamani?

sasa upendo uko wapi jamani mlioachiwa jamani!
 
Back
Top Bottom