Introducing teamrafiki

Introducing teamrafiki

hatutakupa uanachama kama unaleta u Bazazi wako
hapa chama chetu si mabazazi kamwe haturuhusu
marafiki wa aina hiyo hapa sisi ni waupendo, wamoja
na ambao tunaheshimiana hivyo ondoa ubazazi wako
Lady niece!

Waniitia nini
Huku ukiporomosha matusi!
Bazazi ni mtoto wa kikopo
Hajali hari wala baridi
Usipende kulianzisha
Kwani litaenda mbali
Naam mbali usikokuttegemea

Bazazi
 
Last edited by a moderator:
Nimepita hapa

Ok, Mndengereko nikaribishe member mpya#team rafiki
 
Habari zenu wakuu. toka nilipojiunga jf sijawahi kuchangia. Ila leo kwa heshima na taadhima naomba kukaribishwa team rafiki.
 
Back
Top Bottom