Huyu Johnthebaptist Yuko Wapi?

πŸš€πŸš€πŸ™†β€β™‚οΈπŸ™…β€β™‚οΈπŸ™…β€β™‚οΈ
 
Huyu MwanaJF yuko wapi ni muda sasa hajaonekana hapa jukwaani.

Nimeona reply yake ya mwisho ni mwezi wa tisa mwaka jana.
Kabla ya uchaguzi.



johnthebaptist
Huyu biahara yake ya viroba vya pombe kali iliathiriwa vibaya sana na yale yaliyojiri wakati na baada ya MO29.

Itakuwa bado yupo Mndenyi akijiuliza kwa matambiko ya Kichaga.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…