Unawahubiria nini? hao sio watakuhubiria wao kweli?
Whats going on here??!!!!
AshaDii namfahamu sana. :smile:
Aunty, sasa kama ulimsikia siku ile na uka note hayo yoteKhaaa! I am worried... Kwanza am worried kukutana kote huko na NN haujataja what a lovey and calm voice he has (Ujue mie nawajua members wote wa Jf muonekano na sauti- Lol), pili nina wasi wasi nilimwambia baba watoto Kaizer asiseme mie ndiyo nimekureport na tukakubaliana kabisaaaaa! mana najua you like him more kuliko mimi aunty yako! Tatu nina wasi wasi na kunikatalia kwa Maxence na hali umefanya kosa kubwa hivi... Yaani hizo ethics hazipindi jamani??
Wapi wifi yangu King'asti?? Na hii thread na those killing looks za Nyani Ngabu, I have lost my Mwali... Duh... Lol
Kabla hujajua chochote kuhusiana na kwamba huyo ni mwanachama mwenzako wa JF unasema ulivutwa na kwamba "amejaza misuli, anatumia marashi, ana sura nzuri, anavaa vizuri, amenyoa ndevu." Hivi kuna watu wangapi mjini Dar-es-Salaam au duniani ambao umekutana nao maishani "wana misuli, wanatumia marashi, wana sura nzuri, wananyoa ndevu, wanavaa vizuri" ambao nao uliwawakia na labda wakakupeleka pwani?kijana handsome, amejaza jaza misuli near me
of course nika note ananukia cologne ya nguvu, pamba safi, shaved and all that.
Nikawa na interest ya kumsemesha
Mwali, why should I ignore the negative if it is repulsive? Kama una watu 100 wame focus kwenye u positive, kwa wale ambao wanaona kuna upositive humo, kuna ubaya gani mtu mmoja niki focus kwenye the negative dimension of it, the repugnant message within the narrative?Nilipoona umechangia nilijua tu utatema sumu!
hivi watu wengine mnaishije jamani?
In every thing you look and focus on the negative?
Nilipoona umechangia nilijua tu utatema sumu!
hivi watu wengine mnaishije jamani?
In every thing you look and focus on the negative?
haya, asante kwa mchango wako, focussing on the negative (repulsive)Mwali, why should I ignore the negative if it is repulsive? Kama una watu 100 wame focus kwenye u positive, kwa wale ambao wanaona kuna upositive humo, kuna ubaya gani mtu mmoja niki focus kwenye the negative dimension of it, the repugnant message within the narrative?
haya, asante kwa mchango wako, focussing on the negative (repulsive)
What i actually meant ni kwamba some people ALWAYS focus on the negative (repugnant)
and i was wondering if they ever see the colors we see, the silver lines and all that...
But it is a matter of choice. We can't (and wouldn't dare) blame you for being a spoilsport.