Mwali
JF-Expert Member
- Nov 9, 2011
- 7,012
- 5,613
- Thread starter
- #161
Jamani mi nimesema tu Nilionana na NN, anavutia kwa muonekano wake,Aah sana. Naona umejisalimisha kwa NN, mwenzie kanunaje.
Mpashe apashike na ajue hizi sio zama za kusubirisubiri huku unaumia Moyo, ni zama za kusema nae.
na nikaongeza kua ningependa tuonane tena huku kwetu
Sijasema nimemdondokea. Mbona mnaniweka maneno mdomoni?
But ushahuri wako umefika, nikizidiwa nitamwambia tu wazi. 😛oa