How I met (and lost) Nyani Ngabu

How I met (and lost) Nyani Ngabu

Status
Not open for further replies.
Si nilikwambia hata siku ile alikua mkali? Na ndio sababu nilipotea siku zote hizi
Hapa najua hata laptop nitanyanganywa sasa, ili nishindwe kuwasiliana nawe!

ndo matatizo ya kufunda watoto, eager to experiment! Hujakua wewe, yaani hata ikiwezekana wangekunyang'anya na macho na maskio kabisa! Watoto wa siku hizi astaghaffirrullah!
 
Pamoja na Chimpumu nina akili za kuchimba choo.

huyo Kongosho anakunywa gongo na chimpumu, merry brown ya masaki utamkwaza tu. Mpeleke that place opposite side.of the road, lol
 
Last edited by a moderator:
Hey roomie, mambo? How I missed you dear! wacha niseme maybe nitaffanikiwa
Unakumbuka NN nae alikua katika canditates wa kushare nyumba kipindi kile?
I ended up wondering how it would have been iwapo angeshinda yeye ile lottery!

Mambo poa mate..mic ya too..am officially a globetrotter yaani ni safari kwenda mbele.Nakumbuka sana ule mchujo,ulileta rabsha mpaka watu wakataka kushikana mashati(hatutaji majina).
Ila mwisho wa yote naona nyota ya Nyani Ngabu ni angavu kweli kweli.Yule brother wa kipindi kile hana chake kabisa hapa.
 
Last edited by a moderator:
MABINTI WA SIKU HIZI hesabu ndogo ndogo zinawashinda, we mwali,unataka mpaka aunt yako ashadii akuambie nyani ngabu ni mjomba wako ndio utaachana na hicho kibabu chenye muonekano wa ujana!!!tulizana binti!
 
Yaani mi ni kibabu? Aiseeee!!!!!
 
Interesting...NN kumbe yuko very impressive in person i guess
 
MABINTI WA SIKU HIZI hesabu ndogo ndogo zinawashinda, we mwali,unataka mpaka aunt yako ashadii akuambie nyani ngabu ni mjomba wako ndio utaachana na hicho kibabu chenye muonekano wa ujana!!!tulizana binti!
Shindwaaaaa! we kama umetumwa ishia huko huko!
Vade retro!
 
Arif mbona hauko sawa leo? Wewe ni mjomba wa Mwali?

Kuna kinywaji napoga apa arifu..asee hapa ngoja nisepe nikiendelea naweza pigwa ban kabisa. Mi mjo,mbake kabisa. AshaDii unamfahamu? Ni aunt yake...

CC: Mwali.
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom