lilikuwepo somo la kemia lakini sikuliingia ndani kwa saaana, kidogo tu: Collision Theory of chemical kinetics inasema huwezi kuwa na chemistry kama vitu husika havijafanya physical contact of the right orientation, lugha ya ma cowboy ni it takes two to tangle.
hapa hapakuwa hata na eye contact, let alone conversation, mwingine alikuwa anaangalia chini kwenye simu, mwingine kawaka, kaanza kujisogelesha, kisa, kasikia marashi, na kaona misuli, na kaona kidevu kimenyolewa! Utawakia wangapi wa jinsi hiyo mjini hapa? Chemistry gani hiyo upande mmoja tu ndio umefikia kilele cha excited state mwingine hata haujui unawakiwa? Mwishowe uta react to dead bodies!
pepo la kusambaza maradhi la ku lose control kwa misuli na marashi lishindwe na lilegee!