Wajumbe naona mnavyochakarika kuuinua uchumi wa nchi na kuhakikisha mkono unaenda kinywani kongole sana.Niende moja kwa moja kwenye jambo letu.
Tumekuwa tukishuhudia jinsi ambavyo wanamke(baadhi🤔) wanajitahidi kuhakikisha wanayapambania maisha na hata kushiriki kutatua changamoto za kifamilia hasa kiuchumi.Hongera sana🫲Shida inakuja pale uchumi wa mwanamke unapoinuka ghafla migogoro nayo hiyooo.Mara mwanamke anakuwa na misimamo yake ,hamtii mume na hata wakati mwingine unakuta mume anafanya project zake mke naye anafanya zake, kila mtu anaspend bila kushirikishana as family.Ukizingatia ule usemi wa "two heads are more than one"
Nalisema hili huku nikirefer experience from my best friend's life style.
Rafiki yangu alioa mwaka 2022 mwezi wa6,mke alikuwa hana kazi akamtupia mtaji wa kueleweka biashara ikazaa maradufu.
Du ghafla si mambo yakabadilika ndani humo, kukurukakara huku na kule wife akaanza makeke. Mara ghafla wife kabadilika , mara hoo wife hamskilizi mume, mara ooh utaniambia nini?
Wafaransa wanasema "Gagnez de l'argent, apprenons à vous connaître.Yaani shika hela tujue tabia Yako⛹️
Siku zimesogea biashara ikawezazalisha mara 2 ya anachozalisha mume. Mume alikuwa mwajiriwa so alikuwa na mikopo kadhaa katika hali ya kujiendeleza ikiwa ni pamoja na mkopo wa ujenzi na aliomfungulia mkewe biashara.Aloooo inaniuma mpaka natamani niishie hapa nisielezeee tena ila waswahili husema maji ukiyavulia nguo huna budi kuyooga ngoja tu nimalizie.
Sasa bwana jamaa mambo yakamzidia kwani alikuwa na marejesho ila bado alitakiwa kufanikisha mahitaji yote ya ndani kwa 100% Kwa vile mtaji wa mke uliendelea kukua akamwomba amsaidie kupunguza marejesho aliyo nayo kwenye baadhi ya taasisi.Akamchomolea nje.
Hajakaaa sawa akaambiwa kwanza wewe si type yangu.Du ukizingatia jamaa alikuwa amepeleka watoto medium schools(walikuwa wamepata watoto kabla ya kufunga ndoa hivyo wakati wanafunga ndoa walikuwa na watoto wakubwa wanaosoma) mzigo ulimuwia mkubwa hivyo kuomba msaada wa mkewe huku akiambiwa kwamba mwanaune ndiye kichwa cha familia atende wajibu wake kama inavyoagizwa kwenye vitabu vya Mungu kwani mke yeye anatekeleza wajibu wake kadiri ya maandiko yaani ku .............kwa uchungu.
Jamaa mara kadhaa amekuja kuomba ushauri kwangu huku akitamania sana mambo yangu yanavyoenda vizuri huku tukishirikishana na wife kukokotoa mambo mbalimbali ya familia.
Kiufupi rafiki yangu huyu anaona kuinuka kwa uchumi wa mke wake ndiyo chanzo cha familia yake kuingiliwa na migogoro kwani wife keshamwambia kama mbwai iwe mbwai,Yuko tayari kuanzisha safari mpya.
"Truly, it hurts a lot, especially when someone you trusted and handed your resources to so you could lift each other up becomes selfish and uses those resources to oppress you. I don't know what to say, but if you could only see how my friend is affected psychologically, you would understand the impact of the matter i have brought before you.
Nakumbuka wimbo wa zamani niliosikia enzi nikiwa mtoto ambao nina imani mtanikumbusha mtunzi unasema "ukiona mtu mzima analia ujue kuna jambo ".Mara ya mwisho rafiki yangu huyu kunishirikisha swala lake anasema inasemekana mwanamke keshachukua kiwanja bila kumshirikisha jambo linalomfanya aamini kwamba huenda kweli yupo tayari kuianza safari mpya nje ya hii waliyoanzisha huku akiwaza kwamba au kuna mtu nyuma ya pazia anayeachilia ramani🫣 ila anachojipa moyo ni ndoa waliyofunga inayomfanya aone labda yawezakuwa daraja la kumvusha katika mtego anaouona ukimnyemelea
Aloooooo nitaendelea baadae hebu kwanza nimalizie kazi flani hapa then nitaendelea ila najiuliza kukua uchumi wa mke si ni baraka kwa familia iweje igeuke msumari wa moto wa kuyadhuru mahusiano ya wanandoa hata wakati mwingine kuisambaratisha🥱🤔🫢