Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 6,376
- 6,720
Nami nakupata sana tu.hakuna shida.
Hapa nakupata vizuri.
Nami nakupata sana tu.hakuna shida.
Hapa nakupata vizuri.
Usinambie hivo bwana, unanivunja moyo bado mapema.
Si unajua Mwali sipendi Compe? I'm above that mie!
Hey roomie, mambo? How I missed you dear! wacha niseme maybe nitaffanikiwaNaona Mwali umefunguka speed 120.Safi sana,tii kiu yako binti.
Ngoja nikae hapa pembeni niangali kama Mwali utasema::::::::::::::::::::
Mmmmmmnh...!!
Sijui ndoto hii au kweli..!! Ngoja niendelee kusikiliza..!!!
Mbona unakuwa kama huamini?