Mwali
JF-Expert Member
- Nov 9, 2011
- 7,012
- 5,613
- Thread starter
- #81
HIvi kipimo cha utoto mnapimaje jamani? Mbona AshaDii aliolewa na uncle akiwa under 18?ndo matatizo ya kufunda watoto, eager to experiment! Hujakua wewe, yaani hata ikiwezekana wangekunyang'anya na macho na maskio kabisa! Watoto wa siku hizi astaghaffirrullah!
Na sijasema I want to experiment nilicho fundwa, nataka tu aje kunitembelea huku Tanga
Ningekua na nia mbaya tungepanga tukakutane huko huko aliko, but nimeona aje hapa home