How I met (and lost) Nyani Ngabu

Status
Not open for further replies.
Kwa kweli FP hapo hata mie nilimkubali Mwali. Watu wana vipaji adimu we acha tu!

mwaJ vipaji adimu vipo ila tuvitumie vinapohusika! Vinginevyo tutajarushiana vitu vyenye ncha kali
 
Last edited by a moderator:
mmmhh? Is it? Kama kweli yalitokea hayo unayo sema, na kama una interest na huyo mngine
basi nakuomba ukae na NN umkumbushe. Mi sikuwepo, naanzaje kuongea nae kuhusu hayo?
Ndio hivyo Mwali, usione vyaelea ukadhani havina wenyewe!.... Wanaochekelea wote hawakupendi manake wangeshakupa tahadhari mapema ili ukae mbali na Nyani Ngabu....
 
Last edited by a moderator:
My dear, itabidi nikutafute, naona upo serious kuliko hata mimi nilipoandika huu uzi.
Tukutane basi kwa aunty yangu AshaDii, she is still mad at me but I will solve that

Hello Mwali,
Even though the thread was created in jest, to others it may not have been received as such. To me, that's perfectly understandable. We are all different in every sense of the word and I embrace that diversity.

Therefore, my friend, with all due decorum and respect, I ask the powers that be (the moderators and the administrators) to close this thread.
 
mwaJ vipaji adimu vipo ila tuvitumie vinapohusika! Vinginevyo tutajarushiana vitu vyenye ncha kali

Umeona eeh? Especially anayetumia kipaji chake akiwa anachezea viwanja vya ugenini. Hapo hawezi hata kujua kitu chenye ncha kali kimetokea upande gani.
 
Last edited by a moderator:
Hello Mwali,
Even though the thread was created in jest, to others it may not have been received as such. To me, that's perfectly understandable. We are all different in every sense of the word and I embrace that diversity.

Therefore, my friend, with all due decorum and respect, I ask the powers that be (the moderators and the administrators) to close this thread.
Jamani kama kuna mtu nimemkwaza anisamehe, I was just joking! ha ha ha ha ha
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom