Freema Agyeman
JF-Expert Member
- Mar 3, 2011
- 3,666
- 3,533
Unauliza wangapi kama NN? Hakunagaaaaa!
Halafu pamoja na kua hata mimi sikuingilia somo la kemia kwa sana,
Najua hiyo contact kati ya substances sio lazima solid or liquid particles
Mfano mdogo ni feromones ambazo zinatumika katika kutengeneza marashi
Halafu nani alikwambia nililose control, au nilifikia kilele cha exitment?
Mtu nilipanga strategy hadi nikaalikwa juice MaryBrown utasema I was not in control?
Kaka umependa story yangu, na unataka kuikoleza ifanane na unavyo taka wewe!
Thats what I am talking about. Tena akuache miaka 800 tiririka wanoknok wanune.