How I met (and lost) Nyani Ngabu


Status
Not open for further replies.
Mwali

Mwali

JF-Expert Member
Joined
Nov 9, 2011
Messages
7,024
Points
0
Mwali

Mwali

JF-Expert Member
Joined Nov 9, 2011
7,024 0
Ni takriban mwezi sasa toka nilionana na kijana wa JF anae jiita Nyani Ngabu.
Naam, Nyani Ngabu ni kijana, tofauti na habari zinazo sambaa sambaa humu.
Labda kwanza nieleze ilikuaje hadi tukutane...

Aunty yangu Ashadii aliuza shamba lake la Korosho, akanipa hela nimletee benki.
Nilisafiri toka kwetu kwa kujipakiza, nikafika Dar kwenye tarehe 09 hivi.
Nilielekea moja kwa moja benki ambapo nilikuta kunafoleni kubwa sana.
Anti alinambia nipeleke kwenye branch ya Mlimani City sababu ndipo aliacha maelezo yote (i'm not familiar).

Basi, nikiwa kwenye foleni pale niliona kijana handsome, amejaza jaza misuli near me
of course nika note ananukia cologne ya nguvu, pamba safi, shaved and all that.
Nikawa na interest ya kumsemesha, ila nashindwa pa kuanzia, na najua kabisa:
Kwa vile naonekana so common, he could never notice me unless i made him.

Mi nilikua nimevaa zile nguo zangu za Eid, si mnazijua? (kama huzijui bonyeza hapa)
Katika curiosity yangu, na usongo wa kumkaribia huyo kijana nikaamua kurudi nyuma kwenye foleni
nikajikuta nimesimama nyuma yake, style za Ï can see you byt you can't see me".
Sasa hapo nyuma nikamuona anatoa sim, akaingia internet, mara akaingia JamiiForums!

Moyo ukaanza kwenda haraka, nikawa najiuliza, hivi ni nani huyu? asiwe ndie fulani, au fulani...
alikua jukwaa la siasa (for his credit) na ndio nikaona anapost, kumbe ni Nyani Ngabu!
At this point nikaona ni LAZIMA niongee nae, nijue ni mtu wa aina gani huko uraiani.
Nikatumia mbinu mbali mbali alizo nifunza Aunty yangu na hatimae I could catch his attention.

Akaniuliza jina, nikampa jina langu la kweli, na akanialika pale MarryBrown for a drink. nikakubali.
Tukakaa na kuongea kwa muda kama wa masaa mawili na nusu, I didnt see the time passing!
baadae akanipeleka duka la vitabu, akanipa zawadi ya kitabu cha Mzee Mwanakijiji (Majeruhi wa Mapenzi)
then akaniomba number yangu, akanambia atanipigia, na tukaagana hivo.

Nilipotoka hapo I was so happy, nikampigia Aunty AshaDii kumwambia nimekutana na NN,
Bahati mbaya she was in a terrible mood kwa vile nilichelewa kumpigia,
akaniomba nirudi kijijini mara moja, na akampa Uncle Kaizer reipoti mbaya sana!
once home nikanyang'anywa sim! Nililia sana ila hawakunionea huruma. I ended up missing NN's call.

Yeye hakujua kabisa kua ilikua ni mimi, ila sasa nimejilipua ili nikutane nae tena. Nyani Ngabu: I am the girl you invited for a drink marrybrown.
Usione sim yangu ilikua haipiti, ni kosa la AshaDii, alininyang'anya!
Na tena alimuomba Maxence Melo anifungie access ya JF ili nisiwasiliane na wewe
Bahati nzuri, Max alikataa for ethical reasons (Brave Max who could resist her persuasive efforts)
Kwa kifupi, I will be very happy to meet you again, but this time huku kwetu Ushongo Mbaoni.

Mwali
 
Last edited by a moderator:
Kongosho

Kongosho

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2011
Messages
36,077
Points
1,500
Kongosho

Kongosho

JF-Expert Member
Joined Mar 21, 2011
36,077 1,500
i see, mwali at work.
EMT,
 
Last edited by a moderator:
Mpita Njia

Mpita Njia

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2008
Messages
7,010
Points
1,225
Mpita Njia

Mpita Njia

JF-Expert Member
Joined Mar 3, 2008
7,010 1,225
Haya sasa...
 
Kongosho

Kongosho

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2011
Messages
36,077
Points
1,500
Kongosho

Kongosho

JF-Expert Member
Joined Mar 21, 2011
36,077 1,500
he he he, umemaliza.
Asante, nasubiri.

Afu si unajua akina dada, siku zote ni kumtetea kaka.

Hey sista, mamboz?

Na wewe ntakupeleka Mary Brown ile ya Masaki, sawa eeh?
 
Father of All

Father of All

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2012
Messages
3,090
Points
1,225
Father of All

Father of All

JF-Expert Member
Joined Feb 26, 2012
3,090 1,225
Nimependa hii kitu. Sasa malizeni basi mtangaze ndoa ndoana ili tuendelee kusherekea. Je mkiwowana mtaendelea na makeke yenu hapa JF kama wana jamvi au nke na mme. Kula la heri jamanini wanangu NYANI NA MWALI wedu.
 
Nyani Ngabu

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined
May 15, 2006
Messages
82,388
Points
2,000
Age
29
Nyani Ngabu

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined May 15, 2006
82,388 2,000
Nimependa hii kitu. Sasa malizeni basi mtangaze ndoa ndoana ili tuendelee kusherekea. Je mkiwowana mtaendelea na makeke yenu hapa JF kama wana jamvi au nke na mme. Kula la heri jamanini wanangu NYANI NA MWALI wedu.
Dah! Faza mbona umeenda mbali sana.....?
 
Father of All

Father of All

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2012
Messages
3,090
Points
1,225
Father of All

Father of All

JF-Expert Member
Joined Feb 26, 2012
3,090 1,225
Mwanangu Nyani usiwe na shaka. Hakuna cha kwenda mbali. Maana kimwana alivyokusifia na jinsi mlivyochonga kwa masaa mawili lazima kizaliwe kitu hapa. Hata hivyo waamuzi ni nyinyi sisi watazamaji. Zangu dua. Juzi kijana wangu Mohamed Mtoi alijifaragua akafanya kweli kwanini wewe usiweze? Kwa ukali wako wa mawazo lazima uwe fiti. Hata hivyo miafrika ndivyo mlivyo unaweza kutibuka.
 
Kongosho

Kongosho

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2011
Messages
36,077
Points
1,500
Kongosho

Kongosho

JF-Expert Member
Joined Mar 21, 2011
36,077 1,500
asante, mie najitolea kuwa mshereheshaji wa idara yeyote nitakayoangiwa.

Mwanangu Nyani usiwe na shaka. Hakuna cha kwenda mbali. Maana kimwana alivyokusifia na jinsi mlivyochonga kwa masaa mawili lazima kizaliwe kitu hapa. Hata hivyo waamuzi ni nyinyi sisi watazamaji. Zangu dua. Juzi kijana wangu Mohamed Mtoi alijifaragua akafanya kweli kwanini wewe usiweze? Kwa ukali wako wa mawazo lazima uwe fiti. Hata hivyo miafrika ndivyo mlivyo unaweza kutibuka.
 
Kongosho

Kongosho

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2011
Messages
36,077
Points
1,500
Kongosho

Kongosho

JF-Expert Member
Joined Mar 21, 2011
36,077 1,500
I know, daym hot.

He is my bro, remember.

Konnie, we nawe! kwani kila kitu lazima EMT ajue?
Ila niseme tu kweli mwenzangu, Nyani Ngabu is hot!
 
Last edited by a moderator:
Nyani Ngabu

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined
May 15, 2006
Messages
82,388
Points
2,000
Age
29
Nyani Ngabu

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined May 15, 2006
82,388 2,000
Yeah, that was me. Sorry sikuweza kukwambia pale.
Niliogopa nikikwambia unaweza kustuka au kubadilika.
Hahahahaaa! You got me and you got me good.

Uliipenda ile juisi lakini?
 
Father of All

Father of All

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2012
Messages
3,090
Points
1,225
Father of All

Father of All

JF-Expert Member
Joined Feb 26, 2012
3,090 1,225
Mwanangu Kongosho sikuamini utaua. Jinsi ulivyonipa kuwa wewe unafanya ufuska kwa fani sitaki nikuone karibu na Nyani Ngabu. Maana jinsi Mwali alivyomsifia na viwalo vyake unaweza kupindua ligovernment lake. So keep off my dear this is not your time. Nisamehe kama nimekuudhi au kukurushia dege.
 
Nyani Ngabu

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined
May 15, 2006
Messages
82,388
Points
2,000
Age
29
Nyani Ngabu

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined May 15, 2006
82,388 2,000
Mwanangu Kongosho sikuamini utaua. Jinsi ulivyonipa kuwa wewe unafanya ufuska kwa fani sitaki nikuone karibu na Nyani Ngabu. Maana jinsi Mwali alivyomsifia na viwalo vyake unaweza kupindua ligovernment lake. So keep off my dear this is not your time. Nisamehe kama nimekuudhi au kukurushia dege.
Konnie ni dada'angu bana. Me no do me sista.:nimekataa
 
Status
Not open for further replies.

Forum statistics

Threads 1,284,537
Members 494,169
Posts 30,831,015
Top