Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 37,661
- 46,349
Acha porojo nyingi waziri hana mamlaka ya kuajiri au kufukuza watumishi wa umma.Ni kwamba utakuwa hujui mfumo wa utumishi wa umma unavyofanya kazi Tanzania au ni mpiga zumari tu.
Usikariri maswala ya uongozi katibu mkuu ndio mtu anaesimamia maswala ya uendeshwaji wa wizara kila siku obvious moja ya majukumu yake ni kuchukua hatua so is the hospital manager at execution level (depending on decentralised decisions).
Hayo ni matokeo ya ku speed up maamuzi ya kazi sio kila kitu mpaka ajuzwe waziri (ndio maana kuna decentralised decision making all the way mpaka kwa wakurugenzi na katika taasisi za serikali) lakini waziri ndio mwenye mamlaka ya mwisho kwenye wizara. Ata execution strategy inayoandaliwa na wataalamu anaweza ikataa akaamuru wabadili mbinu (ni vitu vya kawaida kwenye nchi za siasa za ushindani ambapo support inatokana na ideology) mtu pekee anaeweza muamuru waziri ni raisi.
In otherwords waziri ni General Manager kwenye wizara, whereas Permanent Secretary or chief strategist (acts as the operation manager). Walau kulingana na everyday duties.
Given their powers waziri has powers to intervene at any level anaweza ata mrudisha kazini mtu aliesimamishwa na katibu mkuu, wakati katibu mkuu awezi mrudisha kazini mtu aliesimamishwa na waziri (provided those decision don’t clash with the employment rights of the individual by law).