Mudawote
JF-Expert Member
- Jul 10, 2013
- 10,037
- 12,507
Mchawi wa Mwalimu==Mwalimu mwenyewe
Mchawi wa Dakitari== Dakitari mwenyewe
Mchawi wa Mhasibu == Fedha/Pesa/Mshiko/Talanta/Hela/mafuba
Kuna mdau kashauri kitu kizuri sana kuhusu hili sakata, waziri yupo kwenye strategic level, ni muhimu hili suala likaangaliwa kwa mapana, inawezekana ni practice nchi nzima na inawezekana kuna kisababish of which ucheleweshwaji wa malipo yaweza kuwa sababu etc. Dakitari ni kada ya mtu anayepaswa kufanya kazi bila msongo wa mawazo, nadhani wizara iliangalie hili suala ki changamoto ili ma Dakitari waweze kufanya kazi kwa ufanisi.
Nakumbuka Dkt Magufuli aliwahi kufukuza degree holders kwenye mizani baada ya hao vijana kuwa wezi sana, lakini hakukurupuka bali mfumo ulifanya kazi na kuja na suluhusho la kudumu ambapo mpaka leo mla rushwa mizani hudakwa ka digidigi kimya kimya.
Hivyo waziri waafya kafanya vizuri ila wizara iende beyond kumuwajibisha tu mhusika