Hospitali ya Amana: Daktari abainika kutumia Vifaa Tiba vya Serikali kutibu Wagonjwa na kujilipa binafsi

Acha porojo nyingi waziri hana mamlaka ya kuajiri au kufukuza watumishi wa umma.Ni kwamba utakuwa hujui mfumo wa utumishi wa umma unavyofanya kazi Tanzania au ni mpiga zumari tu.
Usikariri maswala ya uongozi katibu mkuu ndio mtu anaesimamia maswala ya uendeshwaji wa wizara kila siku obvious moja ya majukumu yake ni kuchukua hatua so is the hospital manager at execution level (depending on decentralised decisions).

Hayo ni matokeo ya ku speed up maamuzi ya kazi sio kila kitu mpaka ajuzwe waziri (ndio maana kuna decentralised decision making all the way mpaka kwa wakurugenzi na katika taasisi za serikali) lakini waziri ndio mwenye mamlaka ya mwisho kwenye wizara. Ata execution strategy inayoandaliwa na wataalamu anaweza ikataa akaamuru wabadili mbinu (ni vitu vya kawaida kwenye nchi za siasa za ushindani ambapo support inatokana na ideology) mtu pekee anaeweza muamuru waziri ni raisi.

In otherwords waziri ni General Manager kwenye wizara, whereas Permanent Secretary or chief strategist (acts as the operation manager). Walau kulingana na everyday duties.

Given their powers waziri has powers to intervene at any level anaweza ata mrudisha kazini mtu aliesimamishwa na katibu mkuu, wakati katibu mkuu awezi mrudisha kazini mtu aliesimamishwa na waziri (provided those decision don’t clash with the employment rights of the individual by law).
 
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Dorothy Gwajima ameagiza Daktari aliyejimilikisha hospitali ya Amana kwa lengo la kujitajirisha achukuliwe hatua kali

Daktari huyo mwenye jina kapuni amebainika kutumia Vifaa vya Hospitali hiyo ambavyo vinamilikiwa na Serikali ili kuwatibu Wagonjwa lakini malipo yote alikuwa akiyapokea binafsi

Tuhuma dhidi yake zimetolewa na Mgonjwa kwa Wizara hiyo ambaye alilipishwa laki 7 na kuhudumiwa na Nesi huku akiwa amelazwa Gesti badala ya kulazwa kwenye Wodi za Wagonjwa na wala hakuambiwa anaumwa nini

Waziri wa Afya ameagiza hatua zote za kinidhamu zifuatwe katika kumshughulikia Daktari huyo. Ametoa agizo hilo akiwa katika ziara ya kikazi Mkoani Dar es Salaam alipotembelea Hospitali ya Amana kujionea utendaji kazi.

Huyo mgonjwa anapaswa amshukuru Mungu kwa kupatiwa matibabu, hilo la kulazwa gesti na kutokuambiwa ugonjwa si la muhimu sana kwa uhai wake.
 
Mtu atoke hospitali akalazwe Guest!!
Huku hajui ugonjwaa wake!
Ajabu sana.Hiyo chai aiache 2020,asivuke nayo. 2021
 
Acha porojo nyingi waziri hana mamlaka ya kuajiri au kufukuza watumishi wa umma.Ni kwamba utakuwa hujui mfumo wa utumishi wa umma unavyofanya kazi Tanzania au ni mpiga zumari tu.
Ndugu mtu anaeidhinisha ajira za serikali ni waziri na mtu mwenye kuamua kupunguza ajira serikalini ni waziri kama hujui.

Ndio maana taasisi zote ambazo mshahara wao unalipwa na serikali wakitaka kuajiri wanaomba kwa Dr Mpango yeye ndio anaamua serikali ina hela za kuongeza wafanyakazi. Akiamua pia anaweza trim size ya wafanyakazi na idara za serikali.

Hao makatibu wakuu na sehemu nyingine wanachofanya ni shughuli za administration usimamizi wa kila siku, kama discipline procudures, interviewing candidates, supervision etc with running of their departments.

I have always said there are only a handful of people who actual understand politics in this forums, kuna watu Tanzania wanafikia mpaka level za kuwa mawaziri ilihali abc of their roles zinawapiga chenga ukiwasikiliza.
 
Kama mnafanya siri ya jina basi mngefanya siri ya tukio pia. Yaani km vile vichwa vya Treni kuokotwa bandarini.
 

Wizara ya afya aindeshwi kwa utashi wa mtu, asilimia kubwa ya guidelines zinatolewa na WHO watu wote duniani wana implement kwa mtindo wao.

Sisi tatizo letu tukisha copy practice regulations azifuatwi, na hakuna watchdog to reinforce adherence. Soma hizo safe practice guidelines za wizara ya afya uone ni makosa mangapi wamefanya.

Tumezoea kuona watu wasiokuwa na skills wakisimamia hiyo wizara, anapoingia technocrat tunaona anakurupuka kumbe anafanya kazi yake ya kuendesha wizara kwa ustadi wa hali ya juu.
Yes, you are right
 
Hii ni habari ya propaganda.
Imeandaliwa ili kuwahadaa wananchi waendelee kuwa mazuzu.
Hivi alilazwaje guest na kisha kulipishwa laki 7?
Alishikiwa bunduki ili alipishwe hiyo fedha?
Kama yalikuwa makubaliano yao ilikuwaje atoe malalamiko kwa wizara/Waziri?.
Mtuhumiwa jina kapuni.
Kwahiyo wakitaja jina wanaona watafuta ushahidi au watamdhalilisha?.
Kama fedha cash laki 7 alikuwa nazo alikubali vipi kulazwa guest house?
Je, mgonjwa wa kulazwa hospitali alijipeleka yeye mwenyewe?
Hapakuwa na ndugu waliokuwa wakija kumjulia hali?
...Hakika Maswali Muhimu Mengi Yanayokosa Majibu! Miaka Mitano Mingine
 
Hii ni habari ya propaganda.
Imeandaliwa ili kuwahadaa wananchi waendelee kuwa mazuzu.
Hivi alilazwaje guest na kisha kulipishwa laki 7?
Alishikiwa bunduki ili alipishwe hiyo fedha?
Kama yalikuwa makubaliano yao ilikuwaje atoe malalamiko kwa wizara/Waziri?.
Mtuhumiwa jina kapuni😁😁😁😁😁.
Kwahiyo wakitaja jina wanaona watafuta ushahidi au watamdhalilisha?.
Kama fedha cash laki 7 alikuwa nazo alikubali vipi kulazwa guest house?
Je, mgonjwa wa kulazwa hospitali alijipeleka yeye mwenyewe?
Hapakuwa na ndugu waliokuwa wakija kumjulia hali?
Cinema zimeanza mkuu, wakiona hakuna kinachotrend wanabuni kitu😂😂
 


Kumchukulia hatua tu huyo daktari sio suluhisho la kudumu. Inabidi uchunguzi zaidi how was that possible inawezekana hiyo sio isolated case ni culture yao hapo Amana.

Weka tangazo kama kuna watu wengine washafanyiwa utaratibu huo wajitokeze, kuna vijana wengi wamehitimu mpaka leo awajapangiwa kazi useless Dr wafukuzwe tu.

Huyu mama ata sort hii wizara kuna tatizo kubwa sana supervision and control measures za HR, nurse anatokaje bila ya senior kwenye ward kujua one of the staff is missing kama sio muda wa break. Lazima ni culture ya wengi hapo Amana aliekamatwa ni mmoja tu.

Sisi watanzania tuna utamaduni mmoja wa kishamba sana kila sehemu tukifika tunachofikiria ni kupiga deals tu.

Hivi kweli kuna really qualified doctors wako mtaani? Hii si kweli. Labda vyuo private. Maana ile ripoti ya TAKUKURU ilizua maswali mengi sana.
 
The mere fact waziri anaitwa overseer unatakiwa uelewa that is a synonym for manager.

Nani ni nani hapo wizarani ni jukumu lako kujua roles za senior managers, middle managers and lower managers in line with government administration roles.

Mfano katibu mkuu ni chief operation manager and what senior manager do you think a minister is?

Vinginevyo tunataka kupeana kazi ya kutoa somo la management and honestly I don’t believe it’s my duty.
You seem to be a very good crammer!
 
You seem to be a very good crammer!
Mwacheni Dr awanyoshee system za afya ambazo zilikuwa tia maji tia maji for a long time, walau kaingia mtu mwenye matching skills za kuisimamia hiyo wizara.

Mungu awabariki waliomuona na kutuletea, this hidden gem huko wizarani. Haya maamuzi ni kwa manufaa ya sisi watumiaji wa huduma za afya ata kama leo tunajiona wazima.

Uhalisia ni kwamba ipo siku tutafika kutumia hizo huduma tu, tupende tusipende na bila ya efforts za kuweka standardisation kwenye processes. Basi uhai wetu wa watumiaji unabaki bahati nasibu kutokana na siku yetu inapofika tunaangukia mikononi mwa nani. Depending on the skills of the professional and how they value life hizo ndio luxuries za madokta wetu leo. Badala ya kuelewa it’s their duty to do everything possible to save a life a first.

Management ya hiyo wizara ni very complicated kukuelezea mtu kama wewe ambae sidhani ata kama unajua simple meanings za applications of medical ethics concepts such as; autonomy, justice, beneficence and non-malefence. Jinsi gani zina demand responsibilities kwenye interaction ili uone makosa yaliyotendeka.

Leave alone vast WHO guidelines which have been breached in the process; to explain its pages of JF posts.

Ni hivi kwa nyie vichwa maji wa maswala ya health management; Dr Gwajima sio size yenu kumuelewa, busara ni kumuacha tu afanye kazi yake as a technocrat; utendaji kwenye hiyo wizara ulikuwa ovyo mno for a long time we have come to accepts ill practices as the norm.

Huyo mama anaelewa changes anazotaka ku achieve at so many levels usidhani anaenda tu kama gari bovu.

The woman is a genius; ngoja amalize huko kwenye afya anako kuelewa zaidi, baadae ndio tumpe challenges za social services aspects ambapo anaonekana ni weak. Nonetheless she is the best we have ever had.
 
13 Reactions
Reply
Back
Top Bottom