Je kila kitu unakisikia na kukiona na kukihisi?Kusikia uchawi au kuuona au kuuhisi tuambie
Kama umeusikia unasikikaje?
Kama umeuona unaonekenaje?
Kama umeuhisi umeuhisije?
Je kila kitu unakisikia na kukiona na kukihisi?Kusikia uchawi au kuuona au kuuhisi tuambie
Kama umeusikia unasikikaje?
Kama umeuona unaonekenaje?
Kama umeuhisi umeuhisije?
Tuoneshe mstari wa latitude na longitude mkuu.Tuoneshe uchawi mkuu acha kurukaruka
Yani unioneshe kitu nikione halafu nibishe nitakuwa zuzu au
Nimekuuliza swali ikawaje waganga miaka ya zamani wakadai ukimwi ni kulogwa na sio ugonjwa wa kawaida tu ?Hata sasa madktari na wana sayansi hutofautiana kuhusu huo ukimwi, wapo wenye kuona hakuna virusi vye kusababisha upungufu wa kinga mwilini(ukimwi) na mambo mengine kama vipimo vya kupima huo ukimwi hadi madawa ya ARV kote huko wataalamu wanatofautiana.
Kwahiyo wakati wewe unaona waganga walikuwa na imani potofu kuhusu ukimwi basi pia tambua kuna wanasayansi na madaktari ambao huona watu wamepotoshwa kuhusu ukimwi.
Cha ajabu sasa hivi waganga wanatibu ukimwi kwa mitishamba, nilikutana na mganga mmoja ananionyesha hadi vipimo vya wagonjwa wake mwanzo na baada ya kutumia tiba.
Umenikumbusha king 👑 UTHER alimpata mtoto kichawi/ uganga ikapekea kumpoteza mkewe wakati wa kujifungua mtoto wao ArthurHawajui hata ile tamthilia ya Merlin ni inspired by true history of ancient England (Camelot).
Wazungu wanafanya mambo zaidi ya uchawi, nasema hivyo kwa sababu uchawi huu tunaoujua kuna mengi huwezi kufanya kwa kutumia uchawi ila kuna mambo wazungu wanafanya ukisikia utastaajabu inawezekana vp.Hawajui hata ile tamthilia ya Merlin ni inspired by true history of ancient England (Camelot).
Haaahaa 😊 😃 😊 😃Mkuu anatambika na manyanga kabisa. We kama hauamini basi mkuu.
Kuna bwana mmoja alikuwa anaitwa Mtu mzito sijui alipotelea wapi? Yule bwana alikuwa mtaalamu sanaMbona hamjawahi jitokeza kutupa Elimu,mlianzaje,mkakomaaje,mnafanyaje na mnafaidikaje au mnababukaje na maombi ya watu wenye Imani ya kweli?
Nimeona mpo kimya sana au ndiyo kujisahaulisha tu?
Mwee umwe fiki fijo kalumbu?Mbona hamjawahi jitokeza kutupa Elimu,mlianzaje,mkakomaaje,mnafanyaje na mnafaidikaje au mnababukaje na maombi ya watu wenye Imani ya kweli?
Nimeona mpo kimya sana au ndiyo kujisahaulisha tu?
Oya njia za kuthibitisha nimekutajia huko juu kasome tena acha kurukarukaOk unataka nikuthibitishie kwa namna gani?
Nimewapa tafsiri ya mazingahombwe bado mnakuja na za kwenu za uongoKiinimacho ni mchezo unaoweza kuyadanganya macho ya watu kwa kuyaona mambo kinyume na uhalisia ya hayo mambo yalivyo hasa.
Ile ni true stori bro kama unavyoona hizi tamthilia za Ottoman empire basi na Ile ni vile vile.Umenikumbusha king 👑 UTHER alimpata mtoto kichawi/ uganga ikapekea kumpoteza mkewe wakati wa kujifungua mtoto wao Arthur
Mzee UTHER alikua mtu anae chukia sana uchawi na penalty yake ni kifoo
Nimekuonyesha kwamba suala la ukimwi lina utata hadi sasa hivi tena kutoka kwa madktari na wanasayansi.Nimekuuliza swali ikawaje waganga miaka ya zamani wakadai ukimwi ni kulogwa na sio ugonjwa wa kawaida tu ?
Hiyo maana nimeitoa kwenye kamusi ya kiswahili hata ukitaka nikutajie hiyo kamusi yenyewe nakutajia.Nimewapa tafsiri ya mazingahombwe bado mnakuja na za kwenu za uongo
Soma hii
Mazingaombwe (Mazingahombwe)
"Maana: Ni sanaa au michezo ya kuonesha ujanja wa mikono, akili, au teknolojia ili kuwadanganya watazamaji kwamba kinachotokea ni cha "ajabu", kumbe ni mbinu tu za kibinadamu".
Kwa maana hiyo mazingahombwe yanathibitika maana ule ujanja wa mikono una behind the scenes ambapo hata you tube wanaonesha nenda katazame haya tupo behind the scenes ya uchawi jombaa kama huna kaa kimya
Kosugi soma hapa usiwe unauliza vitu mara mbili mbiliTunathibitisha vitu kupitia
1. Senses k.v kuona, kusikia, kunusa au kuhisi
2. Vipimo vya kisayansi k.v thermometer (joto), Barometer (mgandamizo wa hewa)
Thibitisha au muite huyo mkuu wa wilaya athibitishe kiwepo kwa uchawi hilo eneo uliosema
Basi ngoja nikupe mfano hai. ,kuna binti mmoja alikua anaanguka na kutoa povu , wazazi wake wakazunguka mikoa mbalimbali kwa wapiga ramli kila mmoja akasema wamelogwa na ndugu wa karibu na kutupiwa majini .Nimekuonyesha kwamba suala la ukimwi lina utata hadi sasa hivi tena kutoka kwa madktari na wanasayansi.
Sasa ukiniuliza mimi kuhusu hao waganga siwezi kujua walisema hivyo kwa sababu zipi kwamba walipiga ramli au ni imani potofu tu siwezi kujua, nachojua pia hata sasa bado ipo imani ya kuamini kuwepo ukimwi wa kurogezewa.
Tuoneshe behind the scenes ya uchawi kama tunavyoona mazingahombwe acha kurukaruka kama huna uthibitisho kaa kimyaHiyo maana nimeitoa kwenye kamusi ya kiswahili hata ukitaka nikutajie hiyo kamusi yenyewe nakutajia.
🤣🤣🤣Kuna bwana mmoja alikuwa anaitwa Mtu mzito sijui alipotelea wapi? Yule bwana alikuwa mtaalamu sana
Pia huyu Dogoli kinyamkela anaweza kuwa na majibu
Hawawezi kusema kwamba wapo, labda wale waliokua Wachawi wakaokoka.Mbona hamjawahi jitokeza kutupa Elimu,mlianzaje,mkakomaaje,mnafanyaje na mnafaidikaje au mnababukaje na maombi ya watu wenye Imani ya kweli?
Nimeona mpo kimya sana au ndiyo kujisahaulisha tu?
Kwahiyo hao waganga wote tofauti kupitia ramli zao walisema kitu kimoja kwa maana wote waliona kupitia ramli kuwa huyo binti alirogwa na ndugu wa karibu?Basi ngoja nikupe mfano hai. ,kuna binti mmoja alikua anaanguka na kutoa povu , wazazi wake wakazunguka mikoa mbalimbali kwa wapiga ramli kila mmoja akasema wamelogwa na ndugu wa karibu na kutupiwa majini .
Tukamshauri aende hospital ikagundulika ni kifafaa ,akaanza dawa akarudi kwenye hali yake ya kawaida.
Ikawaje hao wapiga ramli waseme hivyo na kushindwa kugundua sababu?
Note: sijasema tiba za. Mitishamba hazipo.