Lax
JF-Expert Member
- Feb 10, 2022
- 12,250
- 18,055
mganga gani anaua watu mkuu?Kwani nimetoa madai ya mganga kamroga mtu akawa chizi au kafa? Nimeuliza swali watu wenye kuenda kwa waganga ili kuroga watu wawe machizi au wafe je mganga huwa anafanya nini ili kuwaongopea hao watu?