KERO Hivi hii shida ya maji ni huku tu au nchi nzima?
Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Poleni sana,nasikia dar maji kipengele full mateso

Ova
 
Hello Wakuu

Hii mitaa yetu huku Dar es Salaam tunakabiliwa na changamoto ya maji karibia wiki nzima na sio kawaida kabisa

Naomba kuuliza ni viunga vyetu tu hivi vya kimaskini au nchi nzima hili tatizo lipo?

Hii hali ikiendelea hivi mbele kutakuwa kubaya sana
Miaka 60+ baada ya Uhuru tunazungumzia shida ya maji.

"Endeleeni kuitetea serikali sikivu inachapa kazi, Mababeru wanatuonea wivu na rasilimali zetu."
 
Poleni sana sisi tulioko bukoba vijijini tunatumia maji ya mtoni.
 
Back
Top Bottom