Heri uishi na mke mchafu au mwenye kiburi?

Heri uishi na mke mchafu au mwenye kiburi?

Heri uishi na mke mchafu au mwenye kiburi ?

  • Heri niishi na mke mchafu

    Votes: 9 36.0%
  • Heri niishi na mke mwnye kiburi

    Votes: 3 12.0%
  • Ngumu kumeza

    Votes: 13 52.0%

  • Total voters
    25
Hii ni ile chagua sumu yako.

Mchafu anaweza fundishika, lakini mwenye kiburi, akikosea hawezi kukubali kama amekosea, yani kwake hakuna kitu kinaitwa kosa.!
Mkuu, hata uchafu nao sio rahisi kubadilika, shukuru kama wako msafi

Kuna watu wengi wameshaongea sana na kupiga kelele bila dalili ya mtu kubadilika, kuna nyuzi zimo humu jukwaani wadau wakilalamika hali ya usafi ya wake zao kuwa tatizo sugu
 
Ni kweli lakini, kiburi ni sumu hatari sana kuishi nayo.
Kuna rafiki yangu sikuwahi kuweza kuja kudhani atainua mkono kwa mwanamke, ni mtu humble sana.

Mwezi wa pili aliwekwa ndani baada ya kumchapa KISAWA SAWA mke wake kwa kukosa uvumilivu wa kiburi chake.

Hizi mambo kuna muda huwa zinambadili sana hata mtu mvumilivu
 
Uvumilivu una kikomo hasa pale unayemuelekeza ni mtu mzima kama wewe.
 
Mkuu, hata uchafu nao sio rahisi kubadilika, shukuru kama wako msafi

Kuna watu wengi wameshaongea sana na kupiga kelele bila dalili ya mtu kubadilika, kuna nyuzi zimo humu jukwaani wadau wakilalamika hali ya usafi ya wake zao kuwa tatizo suguu

Kuna rafiki yangu sikuwahi kuweza kuja kudhani atainua mkono kwa mwanamke, ni mtu humble sana.

Mwezi wa pili aliwekwa ndani baada ya kumchapa KISAWA SAWA mke wake kwa kukosa uvumilivu wa kiburi chake.

Hizi mambo kuna muda huwa zinambadili sana hata mtu mvumilivu
Uchafu kwanza upi

Kunuka K no mikojo na midomo
Au uchafu wa uzinzi na umalaya ?
 
Hata biblia imewakataa wanawake wenye viburi. Biblia inasema bora kuishi jangwani kuliko kuishi nyumba moja na mwanamke mgomvi. Mchafu anaweza rekebishika hata kwa 50%.
 
Ngumu kumeza hii. Imagine unaishi na mke mwenye tabia kama za mdinywa GENTAMYCINE.
Moderators wa JamiiForums huyu Member baada ya kuja Kuuchafua Uzi wangu kwa Matusi yake yaliyosababisha nami nijibu Mapigo kwa Kumnyoosha haraka sana mkaufunga Uzi wangu ila mkijua kabisa Yeye ndiyo chanzo hakuna mlichomfanya kwa kile kile ninachokisimamia kila siku kuwa MNAMLINDA sana na KUMUOGOPA mno na huenda akawa ni Moderator mwenzenu hapo JamiiForums kwani ni UNTOUCHABLE hasa.

Haya kwa huyu Member secretarybird kuonyesha kuwa bado HAJAKOMA amekuja tena katika huu Uzi na KUNIDHALILISHA kama mnavyoona hapa na nina uhakika Moderators baadhi mmeshaiona hii Post yake ila kwakuwa MNAMPENDA, MNAMLINDA na MNAMUOGOPA wala hakuna MLICHOMFANYA au MTAKACHOMFANYA.

Sasa kama MNAMPENDA anavyonidhalilisha na kunitukana kutwa hapa JamiiForums kwanini baada ya kuona NAMNYOOSHA vilivyo katika Uzi wangu haraka sana MKAUFUNGA?

Na ni huyu huyu Member secretarybird NIMESHAMRIPOTI sana tu Kwenu hadi kumuanzishia Uzi ambao kwa KUMLINDA na KUMPENDA kwenu MKAFUTA haraka ila wala hakuna hatua zozote za KINIDHAMU mlizomchukulia kama ambazo huwa MNATUCHUKULIA Members wengine MNAOTUCHUKIA kwa kutupa BAN za Siku 30 hadi Siku 90.

Namalizia kwa kuwaambia kuwa katika hii Post sitomjibu vibaya ila NAWAHAKIKISHIA kuwa huyu Member secretarybird akiendelea basi sitomvumilia tena na nitaanzisha nae tena Vita ya Maneno MACHAFU na MAKALI nae ili ajue na mjue kuwa sina MPINZANI hapa JamiiForums.

Mnakera mno na haivumiliki tena. Na kama labda MMEMTUMA huyu Member awe ANANICHOKOZA, ANANITUKANA na KUNIDHALILISHA kutwa hapa ili nikimjibu kwa mapigo yangu Makali (ambayo huwa yanaumiza sana) ili mnipe BAN kwa KUNICHUKIA kwenu nipo tayari na iandaeni hiyo BAN ili mnipe na mridhike sawa?

Nimemaliza.

Cc: Reviser , Payge , Cookie , Paw , YinYang , Active , Moderator , Fang , Wand , Bridger , Principled , Refiner , celix , Aegis , Boqin , Zenora and JamiiForums Founder Maxence Melo
 
Back
Top Bottom