unahisi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Tufanye unaamini Mungu, huamini Mungu au bado hujafanya uamuzi, unahisi nini hutokea dakika ya kwanza baada ya kufa?

    Wakuu hii ni mada ya kutafakari najua ishajadiliwa sana humu ndani ya forum na huko makwenu..sasa tuweke hitimisho japo najua sio rahisi je tuseme moyo umesimama kabisa na umethibitishwa umefariki.Wewe unahisi nini hasa hutokea dakika ya kwanza baada ya hapo?Unadhani ndiyo mwisho wa kila kitu...
  2. AXIOM APEX VERBOSE

    JamiiForums Tanzania Je! Unahisi umeshatimiza Malengo yako ya kua hapa duniani au bado?

    Lengo langu limetimia kwa 99.99%. Je! Wewe?
  3. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Je unahisi huyu Waziri ni nani ???

    Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa, amesema Serikali iko tayari kuchukua hatua za kisheria dhidi ya kiongozi au mtumishi yeyote wa umma atakayebainika kufanya matumizi mabaya ya rasilimali za taifa, lakini amesisitiza kuwa hatua hizo haziwezi kuchukuliwa kwa msingi wa tuhuma zisizo na...
  4. O

    JamiiForums Tanzania Unahisi mtu huyu aliweza kuishi baada ya kumaliza karibu kreti ya pepsi

    Jonee mwenyewe https://youtu.be/WTiIWW6QQ_0?si=SOtRb7rbD0YDPMma
  5. M

    JamiiForums Tanzania Unahisi kukija kuwa na maandamano mengine makubwa ni kipi kitabadilika kuwa tofauti na October 29 ?

    Kwa upande wako unaona ni kipi kinaweza kubadilika
  6. M

    JamiiForums Tanzania Heri uishi na mke mchafu au mwenye kiburi?

    Na wengi wao huwezi kuwajua kabla ya ndoa, Drama inaanza baada ya ndoa
  7. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Unahisi Hii Hali ya Bei za Mafuta Kupanda Inaweza Kudumu Mpaka Lini? Na nini Kifanyike Ili Kujinasua na Kupanda Kwa Bei Za Mafuta?

    Unahisi Hii Hali ya Bei za Mafuta Kupanda Inaweza Kudumu Mpaka Lini? Na nini Kifanyike Ili Kujinasua na Kupanda Kwa Bei Za Mafuta? Kupanda kwa bei za mafuta kunaathiri maisha ya kila siku na uchumi kwa ujumla. Ili kujinasua na hali hii, yafuatayo yanaweza kufanyika: 1. Kujenga viwanda vya...
  8. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Unahisi ipi ni hamasa kuu ya mwanamke katika mahusiano ya kimapenzi?

    Unahisi ipi ni hamasa kuu ya mwanamke katika mahusiano ya kimapenzi?
  9. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Unahisi nini kinafanya wanadamu wasiishi kwa amani?

    Unahisi nini kinachostopisha wanadamu wasiishi kwa amani?
  10. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Unahisi ni misemo gani ya wahenga ambayo haina nguvu kwa kizazi hiki kipya?

    Mimi binafsi naamini misemo hii baadhi haina nguvu hivi sasa, kwa mfano -Aliejuu mngoje chini, Vijana wasasa hawana mda wa kupoteza wanakufuata hukohuko juu -Mshika mawili moja humpokonyoka, kizazi cha sasa hawashiki moja maana wanaamini ni uvivu Tiririka nawewe misemo ambayo unaona wahenga...
  11. LiwaloNaliwe2025

    JamiiForums Tanzania Kama kijana unaejitafuta na unahisi umefikia wakati wa kuoa, hizi hapa ni aina za wanawake wetu Tanzania

    WANAOPENDA SANA MAHABA Kuna jamiii ziliwafundisha/zinafundisha wanawake au watoto wa kike kumlea mme, hapa wapo kutoka mikoa ya Tanga, Tabora, Pwani na baadhi ya maeneo mwambao wote wa pwani ya bahari ya hindi Jamii ya watu hawa wamefundwa haswa kulea mme ukioa huko kwenye hiyo mikoa utapewa...
  12. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Hela cash ukiificha sehemu unakuwa na hofu muda wote unahisi umeonekana ukiwa unaificha

    Kuna zile moment unakuwa na hela nyingi ghafla halafu ulizimiss kushika mkwanja mrefu sasa kuziacha Katika account NI kama roho hairidhiki unatamani uzishike shike uzioneone yaani uwe nazo karibu cash Tu mambo ya tozo na makato na miamala kwa muda uyasahau. Sasa kimbembe kinakuja pale sehemu...
  13. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Ni position gani usipoifanya wakati wa tendo unahisi kabisa mchezo haujakamilika vizuri?

    18+
  14. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Unahisi kwanini mwendokasi umeshindwa kutatuta changamoto ya usafiri katika jiji la DAR?

    Wakuu ==== Katika miaka ya hivi karibuni, Serikali ya Tanzania kupitia DART (Dar Rapid Transit) imekuwa ikifanya jitihada kubwa za kuboresha mfumo wa usafiri wa umma jijini Dar es Salaam kwa kununua magari ya mwendokasi. Hata hivyo, licha ya uwekezaji huo mkubwa, changamoto bado ni kubwa —...
  15. Gily Gru

    JamiiForums Tanzania Unahisi Gwajima alikuwa na waandishi wa habari kweli?

    Ukifuatilia hiki kipande cha picha mjongeo, unapata picha gani?
  16. M

    JamiiForums Tanzania Hivi kwa mfano nchi za Ulaya wakilupuana na manyuklia wazungu watakao baki hai unahisi wakimbilia bara gani kati ya Afrika na Amerika kusini?

    Kichwa cha habari cha husika ..maana kwa hesabu za haraka haitapita miaka 50 bila hili kutokea
  17. VERIFY

    JamiiForums Tanzania Nani huwa inamkuta hii?

    Kuna mda ukikaa unajikuta kama umepoteza mwelekeo,, unapoteza interest ya vitu alafu unajikuta huelewi maisha ako yanaendaje 😞
  18. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Alijioa na kujipa takaka: Unahisi alimiss nini huyu

    Mnamo Septemba 2021, mwanamitindo kutoka nchini Brazil Cris Galera, alifunga ndoa na kujioa mwenyewe kwa sherehe aliyoalika ndugu jamaa na marafiki, Na alipoulizwa sababu ya kufanya hivyo alidai, anachokitaka zaidi ni uhuru wake na kujipenda kuliko kumpenda mtu mwingine. Lakini katika hali ya...
  19. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Huyu jamaa unahisi yupo sahihi kuhama Dini?

    Itakuaje kama na upande anaohamia ukawa haukemei. Unahisi yupo sahihi?
  20. R

    JamiiForums Tanzania Unahisi nani ni bingwa wa ⚽ Fifa 🎮 Play Station hapa Bongo

    Ni game iliyojizolea umaarufu hapa nchini, ningependa kuwajua mafundi wake watukutu
Back
Top Bottom