(13E)-labda-7,13-dien-15-ol synthase (EC 3.1.7.10, labda-7,13E-dien-15-ol synthase) is an enzyme with systematic name geranylgeranyl-diphosphate diphosphohydrolase [(13E)-labda-7,13-dien-15-ol-forming]. It catalyses the reaction
geranylgeranyl diphosphate + H2O
⇌
{\displaystyle \rightleftharpoons }
(13E)-labda-7,13-dien-15-ol + diphosphate
The enzyme from the lycophyte Selaginella moellendorffii is bifunctional
Kuna msemo mmoja unaenda hivi
"when a guy has a crush on a girl every one knows knows but the crush, but when a girl has a crush on a guy no one knows but the crush"
Hivyo ndugu zangu ni kheri nikawa muwazi tu maana, hisia hazijifichi..
Na mimi ego yangu sio mbaya niseme nimezee ndani hisia...
Wakuu salamu,
Leo naomba tujiambie ukweli mchungu ambao wengi watauchukia, lakini ndio ukweli halisi. Kama wewe ni mwanaume au mwanamke unayeendekeza uzinzi na ngono zembe, sahau kabisa habari ya kufanikiwa kimaisha kwa njia halali ya jasho lako.
Ukiona mtu ni mzinzi wa kutupwa na bado ana...
OBSESSION ni hali ya akili ambapo wazo, mtu, au kitu hudhibiti kabisa mawazo yako. Unafikiria juu yake wakati wote, na huwezi kuacha, hata unapotaka kufanya mambo mengine.
Vitaa
Labda uwe na pesa na umpate mwaminifu the sometimes uwe mmekubaliana , uwe unaweza kumridhisha mwenzako , mridhishane wote, mvumiliane, sijui kama yote haya yanawezekana
Ila ndoa ni tamu sana ukipata partner wako ambaye mmekubaliana hata kama hamna pesa nyingi kiasi hicho ila...
Kuna shutuma za rushwa na matumizi mabaya ya resources ndani ya chadema, viongozi wa juu wanashutumiwa kujineemesha na misaada kutoka kwa mabeberu na zile donation za mitaani.
Heche anashutumiwa kwa ubadhirifu wa Hela za chama lakini bado tupo ofisini mpaka muda huu....hii ndo maana halisi ya...
Waziri Katambi ameeleza kwamba NIDA sio taarifa binafsi, Umri sio taarifa binafsi, namba ya simu sio taarifa binafsi
Huyu ni waziri mkubwa ndani ya baraza la mawari: Sina hakika sana na level ya elimu yake : lakini naishauri BAKITA kutoa tafsiri rasmi ya nini kinachoangukia ndani ya neno...
IGP MSTAAFU MAHITA, akiwa anahojiwa katika podcast ya Mr&Mrs Kashera alisikika akisema, JESHI LA POLISI linapokea AMRI na maagizo kutoka katika Mamlaka tatu tu ambazo ni Rais, Makamu wa Rais na Waziri Mkuu.
Sasa huyu Waziri wa Sasa WA mambo ya ndani haya Mamlaka nani aliyempa???
Je, IGP wa...
Hapo ulikuwa una 80% ya kulishwa mavitu vya kishirikina, kuchapiwa mtaani, kulea watoto sio wako, vikao vya mara kwa mara vya ugomvi wa mke na mawifi au mama na ilikuwa unakufa mapema sana.
Pia ni wanawake walikuwa wanasifika kwa kuvunja ndoa za watu, wenye visa sana na wepesi sana kurukishwa...
Nimewaza tu jinsi matendo yao na maovu yao wanavojiona kuwa wapo duniani mpaka mwisho wa dunia.
Nawaza jinsi nguvu kubwa itakayotumika watu waonekane na majonzi wakati ukatili waliofanya wakiwa madarakani na vyeo vyao.
Tumeshuudia kwa aliyekuwa spika wa bunge.
Hivi mfano
Stephen Wasira.Hapa...
Hawa vijana wamejawa na matusi, sasa imepelekea anabelle kubadirisha jina la kuomba kufanyiwa mapenzi. Hii yote ni kutokana na mentallity ya matusi waliyonayo.
Mimi naona ni ishu ya afya ya akili.
Muwasaidieni hawa jamaa
Mafanikio YOYOTE AMBAYO yanakukuta KATIKA muda AMBAO HUWEZI kuyafurahia hayafai kabisa Bora ubaki HIVYo.
Mfano MTU anajifungua mtoto akiwa na umri WA MIAKA 60 na hakuwahi Kupata mtoto KATIKA maisha yake yote.
Ukiwa broke huyo mtoto WA kazi gani labda ukiwa tajiri au umefanikiwa afadhali hapo...
Chombo cha anga cha Voyager 1 ni moja ya mafanikio makubwa zaidi ya binadamu katika historia ya sayansi. Hiki ndicho chombo kilicho mbali zaidi na Dunia kuliko chochote ambacho binadamu amewahi kutuma angani. Kilirushwa mwaka 1977 na NASA, kikiwa na lengo la kuchunguza sayari kubwa kama Jupiter...
Jamhuri imeshindwa kuthibitisha Uhaini wa Lissu, lkn Mahakama itakuja na maamuzi kuwa Lissu ana kesi ya kujibu. Kwa vile wanajua watashindwa kesi na mmoja wa mashahidi wa utetezi ni Samia Suluhu, kuliko kumdhalilisha Samia watasema DPP hana nia ya kuendelea na kesi.
Tume ya Chande haina kazi ya...
Wakuu msimamo ni ule ule labda kifo ndio kitatutenganisha samia na gange lake na wakuu wa majeshi lazima wakanyee debe kwa matendo yao.
Hatutawaacha wala kukubali upumbavu wowote kwa naman yoyote ile.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.