Ukifuatilia watu wengi wanaotoa ushauri humu wanafanya hivyo kutokana na uwezo wao wa kutatua ndoa zao !!
Sasa hekima hapo ni kukaa pamoja na kumaliza tatizo!!
Mfano mzuri ni Ndoa ya Rais Mkapa , alipigwa na kitu kwenye kiuno na akateguka lakini alipokuja kwenye media akasema ana nyonga na kukimbilia matibabu Uswiss!!
Hapo hakutaka kuyaweka baya matatizo yake , sasa humu jf watu wanashangilia kuvunjika kwa ndoa hiyo na kujaribu kutoa matusi kwa upande mmoja na kumulaumu Gwajima , sasa hapo Flora na Emm wangeiga mfano wa Mke wa Gwajima ambaye amenyamaza Kimya !
Mimi nasema Flora akamuwekee mumewe dhamana na Emm akitoka akakae na mkewe Tabata !!
Mambo ya ndoa yasipelekwe kwenye media au humu Jf kwa kuwa hata hao watu wa media hawaandiki mambo ya ndoa zao!
Hakuna mtu humu jf aliwahi kufichua tatizo la ndoa yake tena wengine wanamatatizo makubwa!!
Wewe fuatilia waandishi wa gazeti la UWAZI hawajawahi kundika mambo ya ndoa za wake zao lakini wanaandika za watu wengine!
Ushabiki wa kuongelea ndoa ya Emm na Flora yatosha kusema suala la Zinaa limemaliza ndoa hiyo sasa humu jf watu hawafanyi zinaa??
Kwa nini wananyosha kidole kwa wengine??