Hatimaye mume wa Flora Mbasha afikishwa mahakamani

mbona jamaa yupo huru yule nyumba ndogo wa gwajima kaumbuka kafa kifo cha mende kimuziki hakuna anaesikiliza kwaya zake

Hatuwezi sikiliza nyimbo za malaya mwenye roho mbaya aliyetaka kumfunga mume wake.
 
Hili lingemtokea mtu mwingine mwenye kutoelewana na Gwajima, ungemsikia madhabahuni kila siku akiponda, lakini kwa kuwa mzinzi mwenyewe ndio askofu wao, basi misukule yote kimyaaa!
 
Mkuu Kwema hehehe

Ova
 
Back
Top Bottom