maguzumasese2005
JF-Expert Member
- May 1, 2014
- 642
- 172
mke wangu analiwa uroda na mi mwenyewe naenda kunyea debe dah.. Pesa sio mchezo
Mambo ya gwajima ndio maana nayachukia makanisa ya kilokole kuna uovu mwingi nyuma yao.
mke wangu analiwa uroda na mi mwenyewe naenda kunyea debe dah.. Pesa sio mchezo
Mimi nashauri yafuatayo:
1.Hakuna aliyejuu ya Sheria Kwa maana kwamba kama kweli Emmanuel Mbasha alifanya zinaa na Shemeji mtu au alifanya Ubakaji basi upelezi ufanyike na sheria ichukue Mkondo wake
2.Mimi ninaamini kabisa kuwa Mch Gwajima hayupo vizuri na serikali iliyopo madarakani kwa Ushahidi wa Msimamo wake hivyo hawezi kuingilia polisi wala vyombo vya dola ni sawa na mtu anataka kutuaminisha kuwa ati Slaa amehonga polisi wakati siku zote Slaa anapingana na rushwa iliyopo Polisi
3.Makosa ya Gwajima Kufanya zinaa na Flora yatolewe Ushahidi n Emmanuel anaweza kutumia hoja hiyo kumshitaki kwenye Vyombo vya sheria vinavyo husika! Hatuwezi kumtetea Mch Gwajima kwa Hata Mfalme Daudi alifanya makosa hayohayo.
Ni jambo la Kuchekesha na la Kipumbavu ati kwa Kuwa Flora anafanya Zinaa na Gwajima basi Emmanuel Mbasha afanye Ubakaji au Zinaa na Shemeji yake hapa ni sawa na kuruka....... na kukanyaga ......
Kama kweli Emma Kafanya zinaa na Shemeji yake basi Sheria ichukue mkondo hatuwezi kumutetea na K ama Gwajima naye anafanya Zina na Flora Sheria Ichukue Mkondo wake hatuwezi kumutetea.
4. Watu wengi humu wanajenga hoja kuwa Emm Kaonewa je huyo binti kafanywa nini ?? Matukio ya ubakaji yanazidi kuripotiwa kwa watoto nani mtetezi wao??
Ililetwa hapa picha ya Angel Dushima ikidaiwa kuwa ndo ya Esther aliyebakwa hivyo navyo ni visa vya kuficha uongo:
Jambo la kushangaza hata The Bold anayemfahamu Esther alinyamaza kimya na jukwa zima likadanganywa!
5.Tuache ushabiki bali tujenge hoja, ili ukweli uwe wazi na amani ipatikane

Sawa kabisa hakuna hekima kwa wote mda mwingi wametumia media kusululisha ndoa yao na wakati mwingine wanakuja humu jf kulumbana wakati wapo wachangiaji humu ndoa zao zinayumba lakini hawawezi kuanika mambo yao humu!!
Ingekuwa kila mtu analeta mambo ya ndoa yake humu hali ingekuwa mbaya sana
Hivyo siku nyngine wasipeleke mgogoro wao kwenye media wala kuleta humu jf wayamalize waishi pamoja!!
Ni kosa ila mme wangu akifanya hivyo,nitamsamehe,kuliko aende jela miaka 30
Ndo mjue mbinguni kufka kgumu sna..Gwajima ni kiongoz wa kanisa ameamua kuyapka na ya yakapkika ili ajilie utamu bla bugudha
Ukifuatilia watu wengi wanaotoa ushauri humu wanafanya hivyo kutokana na uwezo wao wa kutatua ndoa zao !!Huwezi Kua na HEKIMA km sio Mnyenyekevu! Na huwezi Kua Mnyenyekevu km huna UTII. Huwezi Kua na UTII km Huna UPENDO!
Kuna kila aina ya Hawa ndugu zetu kukosa haya na kumuacha SHETANI KUONGOZA MAISHA YAO NA SASA WAKO KTK MAPITO MABAYA WAKIPITISHWA NA SHETANI!
WAMRUDIE MUNGU NA WAKATUBU!
Ukiendelea na mtazamo huu ndoa yako inaweza kuvurugika zaidi ya hao unao watuhumu !Unagongwa wewe nenda kwa gwajima msukule mkubwa.
ni kweli hapo lazima kuna pepo linawavurugaIssue siyo kumuwekea dhamana , ni kwanini hawaishi pamoja kule Tabata ??
Roho ya zinaa inayotutafuna na sisi imevuruga ndoa!!
Hapo kuna pepo la ngono!
mkubwa hii habari baada ya kuisoma nimegundua haina ukweli wowote. hakuna ushaihidi wowote na kuna contradictions kibao.na stori hii chanzo chake ni kimoja tu, why?think.tchaoKweli hujafa hujaumbika...
Kuna jambo linacontradict kidogo kuhusu umri wa Mr Mbasha...hapa ana miaka 32
Yako wapi....
View attachment 165511One of good times
Mi naona kaonewa baba wa watu,ina maana huyo mke kumuwekea mume dhamani ameshindwa?huo ndio mshangao wangu!
pamoja na yote na marusi mlioweka hii taarifa haina ukweli... mahakamani kosa la jinai huwa halina dhamana... labda ithibitike alifanya bila kukusudia... okay anyways ngoja tuone... Ukweli wake.
Mi naona kaonewa baba wa watu,ina maana huyo mke kumuwekea mume dhamani ameshindwa?huo ndio mshangao wangu!
Jamaa kumbe 32 mie nlijua 45.