Hatimaye mume wa Flora Mbasha afikishwa mahakamani

Hatimaye mume wa Flora Mbasha afikishwa mahakamani

Ni kweli hata kama mke anatoka nje ya ndoa,hakumpi ruhusa mwanaume kutembea shemeji yake,ila kwa vile yalishatokea,MSAMAHA ILIKUWA NI LAZIMA.Nilikuwa na admire ndoa yao,kazi ipo

subiri kwanza binti aliyebakwa amfunge mbasha, akitoka jela watakuja kuimaliza. walipaswa 'kuyamaliza' kabla mtoto hajabakwa--kwa sasa it's too late.
 
Yesu alisingiziwa kqa uongo... wengine wangekuwa wanaishi enzi zake lazima wangekuwa Yuda ..maana wanashadadia vitu kama wanavijua kumbe ni maneno ya waandishi... ambao hao hao waandishi na mafarisayo waliojaa wivu ndio waliomsulubisha Yesu kwa uongo...
 
ukweli ni kwamba florah sio mzuri (nachelea kusema she is ugly); Emma is handsome!

ndo mana nasema emma aliolewa na alipenda mteremko wa kulelewaa,...eti alimuoa frola akiwa na miaka 20,kwa kipato kipi??kwa presentable ya emma,frola ni kama bibi yake....
 
Flora popote ulipo. Ulichomfanyia mumeo utalipwa hapa duniani tukiwa hai. Maisha ya mwili ni mafupi sana ila ya kiroho ni marefu. Umeamua kuutumikisha mwili na malipo yake yako karibu.
 
kufanya 'UZINZI' na MTOTO WA MIAKA 17????? you can't be serious dude!

Binti ana 19 according to other sources napicha zilishaletwa humu

vipi kufanya uzinzi na gwajima sawa ila na binti wa 19 sio sawa??

listen mkuu, like i said before, kama kabakwa na afungwe hata miaka mia.... lakini hii yote kuna cloud mbaya sana ya miego... labda humjui vizuri Florah lakini kwa kugegeda anafukuzana na yule mdogo wake waliejirekodi video ya ngono na ngassa

the boy got it all bad but askofu kula kondoo wake, tena kwa kumpangishia hotel mke wa mtu ni mbaya sana,

Mungu hapendi
 
Dah Flora for better for worse till death do us apart where is this statement applicable??? Au walokole hawasemagi hayo maneno
 
ndo mana nasema emma aliolewa na alipenda mteremko wa kulelewaa,...eti alimuoa frola akiwa na miaka 20,kwa kipato kipi??kwa presentable ya emma,frola ni kama bibi yake....
....khee, Mkuu, yani Emma alioa akiwa na miaka 20!..hakuwa anasoma? hahaaaaa......kwa hiyo Florah ni mkubwa kwa Emma au walioana wote watoto?
 
Mkuu Mwembebasha nashukuru, kimsingi nimefutatilia hili jambo tangu mwanzo kwa ukaribu kidogo., nashawishika kusema hii nchi ina mambo ya ajabu mno.

Mimi sio muumini wa makanisa "hayo" ila muumini wa haki na kweli., na katika hili la Mbasha sioni haki na kweli, uko upande ambao unataka kupoteza haki ya upande mwingine hii sio sawa,. Na wako watu humu ndani wamejiapiza kutetea upande wanaomini uko sahihi huku wakirusha shutuma upande mwingine. Ni katika muktadha huo ndio maana nikatoa pole.
You have a point big man
 
Last edited by a moderator:
Nyumba yoa ipo Tabata na hakuna anayeishi humo wote wamepepetwa na roho ya zinaa ambayo ndo adui mkubwa wa Ndoa hapo huwezi kumulaumu mtu juu ya Suala hili , tumeshuhudia ndoa kusabaratika na dawa ya hawa si kulaumina bali kusameheana warudi wote Tabata kujenga ndoa!!
Hata kama Emm atatoka selo arudi Tabata na Flora akamuwekee dhamana mumewe wakae pamoja waache hasira waache kutumia media kutatua ndoa:

Utaona msiba ukitokea hapo CCM watakuwa wa kwanza kwenda kwenye mazishi!

hv mbona mtoto aliyebakwa yeye hamumzungumzii hata kidogo?
 
Unachosema chaweza kuwa kweli, lakini mashaka pia ni mengi maana kama Gwajima na Flora wana mahusiano ya kimapenzi, lazima sex hapo iwe siri. Je huyu alienda lupango atapataje ushahidi wakati wabaya wake wanafanya kwa siri?

Pili kama hile picha iliyotolewa humu jamvini ndo sura na umbo la mdogo wake Flora, basi mashaka ya pili nikwamba wawili hawa walikuwa wanamahusiano ya ihari na siyo kubakana. Sasa huenda Mbasha anashindwa kusema kwamba yeye alikuwa na mahusiano ya kimwili na hao mabinti kwa muda mrefu.

Lakini mimi naamini walizini ila siamini suala la kubakwa. Flora na Mbasha wangeachana kwa amani tu

KUZINI na mtoto wa miaka 17? unajua maana ya KUZINI au unajisemea tu?
 
ni kweli hapo lazima kuna pepo linawavuruga
ila mke hakupaswa kumtelekeza mme wake
kukosea kupo,ila alipaswa ashikamane na mwenzie wamalize
tatizo thn kama kuachana waachane!!

subiri akitoka jela waachane.
 
Ukoo wa Mbasha ni mkubwa na Maarufu.Atatoka tu.Ngoja wajichangishe
 
Niliandika usaliti wa flora mbasha kwa mumewe,mjinga mmoja akanivaa na kunipeleka puta akidai naingilia ndoa ya watu eti siku wakipatana nitaaibika,sasa mbasha yupo selo huku mkewe akila bata hotelini,eti alichangiwa mil 9 na waumini,jamani hilo kanisa liko wapi na sisi tukalie shida tupewe mapesa,flora kamfunga mumewe,ni mdogo wake na yule mfanyakazi feki wa ndani ndo walienda hosp na baadae police kumshtaki mbasha kwa baraka zote za flora,tukio ambalo flora alikuwa na uwezo wa kuzuia lisitokee na kisha kumalizwa kifamilia hata kama kweli alitenda,lakini kwa kuwa flora hamtaki tena mumewe kamchoka na ana bwana mwingine,ndo maana mbasha ameenda jela,ni mara nyingi sana mbasha alitaka kuonana na mkewe wayamalize ila kwa kuwa kanogewa kuliwa tigo hakutaka kumuona mmewe,hao ndo wanawake ambao ni chanzo cha dhambi na mauti duniani,ni rahisi sana kutajirika lakini si kumpata mke mwema anayependeza mbele za macho ya MUNGU,tusubiri pigo atakalopata flora kwa ushenzi wake.

Fafanua hapo kwenye kuliwa tigo
 
Back
Top Bottom