Hatimaye mume wa Flora Mbasha afikishwa mahakamani

wangeyamaliza kifamilia kama aliyebakwa ni FLORA mwenyewe lakini kwa kuwa aliyebakwa ni MTOTO WA MIAKA 17, hili suala liko nje ya familia.

Thank you! Sheria ni msumeno! Kama kabaka kweli sheria ichukue mkondo!
Na kama ikithibitika hakubaka naye achukue hatua za kisheria dhidi ya washitaki wake!
Na kama ana madai ya Gwajima kutembea na mke wake afungue kesi ya madai akiwa na ushahidi wa mkewe kulipiwa chuo UK, picha na videos au voice clips za mapenzi baina ya mkewe na Gwajima na ushahidi mwingine wowote ili sheria ichukue mkondo dhidi ya wanandoa wasio waaminifu! Au kuomba talaka na kulipwa fidia!
Kuropoka bila ushahidi ni kutafuta public sympathy isiyoweza kukusaidia kisheria!
 
Mimi nashauri yafuatayo:
1.Hakuna aliyejuu ya Sheria Kwa maana kwamba kama kweli Emmanuel Mbasha alifanya zinaa na Shemeji mtu au alifanya Ubakaji basi upelezi ufanyike na sheria ichukue Mkondo wake

2.Mimi ninaamini kabisa kuwa Mch Gwajima hayupo vizuri na serikali iliyopo madarakani kwa Ushahidi wa Msimamo wake hivyo hawezi kuingilia polisi wala vyombo vya dola ni sawa na mtu anataka kutuaminisha kuwa ati Slaa amehonga polisi wakati siku zote Slaa anapingana na rushwa iliyopo Polisi
3.Makosa ya Gwajima Kufanya zinaa na Flora yatolewe Ushahidi n Emmanuel anaweza kutumia hoja hiyo kumshitaki kwenye Vyombo vya sheria vinavyo husika! Hatuwezi kumtetea Mch Gwajima kwa Hata Mfalme Daudi alifanya makosa hayohayo.
Ni jambo la Kuchekesha na la Kipumbavu ati kwa Kuwa Flora anafanya Zinaa na Gwajima basi Emmanuel Mbasha afanye Ubakaji au Zinaa na Shemeji yake hapa ni sawa na kuruka....... na kukanyaga ......
Kama kweli Emma Kafanya zinaa na Shemeji yake basi Sheria ichukue mkondo hatuwezi kumutetea na K ama Gwajima naye anafanya Zina na Flora Sheria Ichukue Mkondo wake hatuwezi kumutetea.
4. Watu wengi humu wanajenga hoja kuwa Emm Kaonewa je huyo binti kafanywa nini ?? Matukio ya ubakaji yanazidi kuripotiwa kwa watoto nani mtetezi wao??
Ililetwa hapa picha ya Angel Dushima ikidaiwa kuwa ndo ya Esther aliyebakwa hivyo navyo ni visa vya kuficha uongo:
Jambo la kushangaza hata The Bold anayemfahamu Esther alinyamaza kimya na jukwa zima likadanganywa!
5.Tuache ushabiki bali tujenge hoja, ili ukweli uwe wazi na amani ipatikane

Wewe ni wale wale wa kwa ngwajima hahahahahh umeongea kwa uchungu kweli ndo hivyo mchingaji wako kimeo mkuuu
 
Mimi naona bana frora ndie chanzo'ktk ndoa hata kama una mgogolo wowote ule lazima utimize wajibu wako kulinda misingi ya ndoa. So frola alipaswa kutoa uloda kama wajibu, kwa akili hiyo natamka las I Dada yenu akinibania tu nawambia mkawaone wazee. Nyie ondokeni. Navumilia siku NNE mwisho ya tank nabaka.ala!.
 
Malizia na wewe unaishia segadance ubakwe na wanaume wenzio! Mwisho wa movie!
 
Thank you! Sheria ni msumeno! Kama kabaka kweli sheria ichukue mkondo!
Na kama ikithibitika hakubaka naye achukue hatua za kisheria dhidi ya washitaki wake!
Na kama ana madai ya Gwajima kutembea na mke wake afungue kesi ya madai akiwa na ushahidi wa mkewe kulipiwa chuo UK, picha na videos au voice clips za mapenzi baina ya mkewe na Gwajima na ushahidi mwingine wowote ili sheria ichukue mkondo dhidi ya wanandoa wasio waaminifu! Au kuomba talaka na kulipwa fidia!
Kuropoka bila ushahidi ni kutafuta public sympathy isiyoweza kukusaidia kisheria!

Sheria Bongo ? Tambua Bongo Masikini Hana Haki ,mwenye Pesa aweza fanya lolote juu ya Mtu masikini na Sheria ikapindishwa hadi masikini ateketee ! Ushahidi upi unataka ? Mbasha anaweza kufika huko chumbani wanapokuwa?ni vigumu Mbasha kushindana na Gwajima hata akiwa na Ushahidi gani hataweza kufanikiwa kwani Mbasha na Masikini hana kitu ndio Maana sasa ametengenezewa kesi kirahisi kanasa kwenye mtego haraka.
 
Ahaaa there you are! Kumbe hakuwahi kufika chumbani wanakolala Flora na Gwajima! Sasa tunaamini vipi kutembea na Gwajima wakati hakuna ushahidi?
Yaani wewe mke wako aje na kesi ya wewe kutembea na mchepuko wakati hana ushahidi akuambie nimeambiwa salon au na jirani wewe hata kama unachepuka utakubali?
Ndiyo sababu sheria zikawekwa kutoa hukumu ya haki pasipo kumuonea mtu kwa ushahidi wa kufikirika!
 
Mimi naona bana frora ndie chanzo'ktk ndoa hata kama una mgogolo wowote ule lazima utimize wajibu wako kulinda misingi ya ndoa. So frola alipaswa kutoa uloda kama wajibu, kwa akili hiyo natamka las I Dada yenu akinibania tu nawambia mkawaone wazee. Nyie ondokeni. Navumilia siku NNE mwisho ya tank nabaka.ala!.

Tz kila kitu kinawezekana Yule Binti amepandikizwa yawezekana alipita kwa mwanaume mwingine ili Daktari akipima apate Ushahidi,au pengine Dakitari nae kashiriki kwenye njama ,hapo kuna vingi chini ya kapeti hii kesi ukiitizama kwa jicho la Tatu unagundua Mbasha ametengenezewa hii skendo ili Frola awe Free akale maisha kwa raha zake .
 
Ahaaa there you are! Kumbe hakuwahi kufika chumbani wanakolala Flora na Gwajima! Sasa tunaamini vipi kutembea na Gwajima wakati hakuna ushahidi?
Yaani wewe mke wako aje na kesi ya wewe kutembea na mchepuko wakati hana ushahidi akuambie nimeambiwa salon au na jirani wewe hata kama unachepuka utakubali?
Ndiyo sababu sheria zikawekwa kutoa hukumu ya haki pasipo kumuonea mtu kwa ushahidi wa kufikirika!

Kesi ya masikini na masikini ukiwa na ushahidi waweza shinda Kesi kwa wepesi Lakini Kesi ya Tajiri na Masikini hata uwe na Ushahidi wa aina gani huwezi shinda kesi.
 
Hapa pana kazi kubwa hasa kwa Mbasha kwani Gwajima anajua Mbasha akiwa Free Mtaani ataendelea kulalamikia ndoa yake na itamfanya kutanua na Frola kwa kificho sana , Gwajima anaombea kesi iende haraka Mbasha afungwe ili yeye na Frola wapumue Free wale raha kwa kwenda mbele pasipo kuwekewa usiku na Mbasha. Mungu yupo Frola anapaswa akumbuke alipotoka na Mbasha hadi kufikia hapo walipo sasa.
 
Masikini baba wa watu, wenye hela wamemsababishia majanga na tatizo ni mke wake mwenyewe wa ndoa, ona sasa anapelekwa lock-up!

Hakika kama kuna uonevu katika hili basi MUNGU akafanye kitu!!

Ama kweli Tunda ni balaa ! Mwenye mke katengenezewa kesi Pia mke kachukuliwa Masikini hana Haki ,mtaji wa masikini ni nguvu zake mwenyewe ,Mbasha anapaswa asali kwa masaa 24 kila siku Mungu atamsaidia kinyume na hapo Mwenye pesa ndio mwenye Haki .
 
Kesi ya masikini na masikini ukiwa na ushahidi waweza shinda Kesi kwa wepesi Lakini Kesi ya Tajiri na Masikini hata uwe na Ushahidi wa aina gani huwezi shinda kesi.

Ni kweli kabisa! Toa ushahidi halafu tuone judge atakavyotoa hukumu kwa upendeleo,
Ukiishia kusema maskini hawezi kushindana na tajiri huku hujatoa ushahidi tutashindwa kuamini 100% sababu baadhi ya masikini ni wakorofi na wanajua watatumia ngao ya umasikini kuficha tabia zao chafu!
Ushahidi unasaidia kuwafanya wasokuwepo kwenye tukio kukubaliana na madai yako pasipo kumsingizia mtu!
 
Wanazungumzia ukibakwa na shemeji yako ukae kimya uendelee kupata utamu tu kwa vile ni familia yaishe na usamehe! Ila kama jirani au mpita njia ndiyo ukashitaki!

Mkuu, kuna baadhi ya watu humu jf nadhani wana mapepo ya ngono--wanataka kuhalalisha ngono zembe na kumdhulumu mtoto aliyebakwa, jambo ambao wanaharakati hatuwezi kukubali litokee. Wajipange upya!
 
Tz kila kitu kinawezekana Yule Binti amepandikizwa yawezekana alipita kwa mwanaume mwingine ili Daktari akipima apate Ushahidi,au pengine Dakitari nae kashiriki kwenye njama ,hapo kuna vingi chini ya kapeti hii kesi ukiitizama kwa jicho la Tatu unagundua Mbasha ametengenezewa hii skendo ili Frola awe Free akale maisha kwa raha zake .

Acha kupotosha ukweli kwa maslahi ya wazinzi. Mbasha alitaka aongee wa mwandishi wa habari aliyekuwa wa kwanza kufuatilia sakati hili ikli wayamalize....wewe unadhani alikuwa anataka wayamalize yapi kama sio ya UBAKAJI? Acha kujitoa akili ndugu yangu.
 
Dah!inamaana jamaa na jila lote kishindwa kupata mtu wa kumdhamini
Inaonekana alikuwa haishi na watu vizuri huyo dogo mil tano anakosa imekula kwake acha sasa mzee gwajima ajilie vyake

Hivi The bold kaishia wapi na ule mwendelezo? Au washamziba mdomo kaka wawatu?
 
Last edited by a moderator:
Hata kama,ndoa ni kitu kingine aisee.Mbona kuna vitu vya ajabu tu kwenye ndoa? Ukirusha tope angani lazima ujichafue tu.Huwa tunaogopa hilo.Kuna kitu tu,tusianze kuzinguana bana.
 
mbona jamaa yupo huru yule nyumba ndogo wa gwajima kaumbuka kafa kifo cha mende kimuziki hakuna anaesikiliza kwaya zake
 
Back
Top Bottom